ANOTHER PLANET
Member
- Mar 23, 2017
- 24
- 16
kwani Simba kwenye FA si alipenya kwa inshu kama hii, "what comes around, goes around"Umeongea vema sana lakin nikuulize kipi kilimpa simba point tatu kabla ya kurudishwa kwa kagera jana?? Na jana maamuzi yalikua kuchelewesha laki 3 au hana kadi za njano tatu au rufaa ilikosewa??
Hebu jibu nilichouliza halaf tuje kwa ishu ya simba kupenya,,,hata serengeti boys wamepenya kwa mezan vike vilekwani Simba kwenye FA si alipenya kwa inshu kama hii, "what comes around, goes around"
Kwa ufupi tu, rufaa ilikosewa,.. Na ikikosewa rufaa hamna sababu ya kudadili rufaa... Sasa ukitaka kujua sababu ya simba kupewa point 3 ktk maamuzi ya awali,... Ni kutokana na hiyo sababu ya tatu,. Walialika wageni waalikwa kuja kujazia nafasi za wajumbe ambao kisheria walipaswa wawepo lakini hawakuwepo, pia waamuzi na wasimamizi wa mchezo husika pamoja na taarifa ya mchezo husika wa African lyion havikukamilika.Umeongea vema sana lakin nikuulize kipi kilimpa simba point tatu kabla ya kurudishwa kwa kagera jana?? Na jana maamuzi yalikua kuchelewesha laki 3 au hana kadi za njano tatu au rufaa ilikosewa??
Msemaji wa Simba aliepewa adhabu Haji Manara amelalamikia kutopewa haki ya kusikilizwa na chama cha mpira nchini. Manara amedai hati ya mashtaka ya TFF imemtuhumu kwa kutaja ukabila ila haielezi hata kosa moja walilomfungia nalo kati ya matatu waliyosema anayo.
Amedai ameandikiwa hati ya mashtaka nyingine na hukumu imesomwa kivingine, amesema vita ni kubwa kuliko watu wanavyofikira, amesisitiza ni war na sio battle.
Kuhusu adhabu ya Simba ameshangazwa na TFF kuzungumzia madai yawaalikwa na kuacha hoja ya msingi ya kadi tatu za njano.
Haji ameongeza TFF imekuwa mkubwa kuliko baraza la michezo nchini(BMT) na serikali kwani imepuuza maagizo yao na amedai anaweza kuzuiwa kuzungumzia habari za Simba lakini hawezi kuzuiwa kuzungumzia mpira. Ameongeza mpira nchi hii hauendi kwani mchana wanatoa hukumu nyingine na jioni wanatoa maamuzi mengine.
Manara ameongeza, Rais wa TFF, Jamal Malinzi na vyombo vyake vya TFF wanataka kuharibu soka nchini.
Disability is equal to inability.Msemaji wa Simba aliepewa adhabu Haji Manara amelalamikia kutopewa haki ya kusikilizwa na chama cha mpira nchini. Manara amedai hati ya mashtaka ya TFF imemtuhumu kwa kutaja ukabila ila haielezi hata kosa moja walilomfungia nalo kati ya matatu waliyosema anayo.
Amedai ameandikiwa hati ya mashtaka nyingine na hukumu imesomwa kivingine, amesema vita ni kubwa kuliko watu wanavyofikira, amesisitiza ni war na sio battle.
Kuhusu adhabu ya Simba ameshangazwa na TFF kuzungumzia madai yawaalikwa na kuacha hoja ya msingi ya kadi tatu za njano.
Haji ameongeza TFF imekuwa mkubwa kuliko baraza la michezo nchini(BMT) na serikali kwani imepuuza maagizo yao na amedai anaweza kuzuiwa kuzungumzia habari za Simba lakini hawezi kuzuiwa kuzungumzia mpira. Ameongeza mpira nchi hii hauendi kwani mchana wanatoa hukumu nyingine na jioni wanatoa maamuzi mengine.
Manara ameongeza, Rais wa TFF, Jamal Malinzi na vyombo vyake vya TFF wanataka kuharibu soka nchini.
1. Kadi ya tatu ya njano ni ya kufikirika. Haikuwahi kutolewa. Hata wapinzani wa ile mechi husika [A. Lyon] wanakataa kuona tukio hiloUmeongea vema sana lakin nikuulize kipi kilimpa simba point tatu kabla ya kurudishwa kwa kagera jana?? Na jana maamuzi yalikua kuchelewesha laki 3 au hana kadi za njano tatu au rufaa ilikosewa??
Kwa uchambuzi huu uliyoushusha hapa, hakika nimeikubali. Lakini usishangae kuna wengine watakupinga, siyo kwa hoja Bali mihemko tu. Hilo ndiko tatizo la Simba kwa miaka ya hivi karibuni, kiongozi wote ni wajanja wajanja tuu, sasa wanatengeneza fix kwa wapenzi Na mashabiki wa klabu hili wapate sympathy. Big up mkuu, haya mambo yalikuwepo hata upande wa pili, Ila wanachama wakawatoa kwa bakora, hawakukubaliana Na huo ujinga.Mimi ni Mwana Simba tena wa Kindaki ndaki kabisa ila nimwombe tu Mfungwa mpya wa Guantanamo ya TFF Haji Manara kuwa atumie vizuri Kfungo hiki katika kujitahidi kuacha uvutaji wa Msuba kwani kiukweli ndiyo unaomuharibu kila kukicha ila Watu wanamlia tu kobisi kutokana na hali yake ya Kibinadamu aliyonayo ya akina ( Under the same Sun ) ila angekuwa na ngozi ya kawaida kama yetu nadhani sasa angeshagawana siku nyingi mno Majengo na Serikali.
Katika hili wana Simba SC wenzangu wala tusitafute mchawi na Mimi kama kawaida yangu kuwa huwa sitaki, sipendi na nachukia mno Unafiki na siku zote nitakuwa mkweli na very neutral katika arguments zangu. Ni kwamba Uongozi wa Simba SC umeshindwa kucheza mpira uwanjani na ukaonekana na sasa baada ya kuona Timu ilifungwa Kagera wakaona wafanye uhuni wao ambao kwa sisi Watu wa mpira tunaujua ili tu zile points tupewe na waweze kuwatuliza Mashabiki na Wanachama.
Ni jambo la aibu na la Kipumbavu sana Simba SC leo hii kuanza kulilia points za mbeleko kwa kisingizio kuwa tunautaka Ubingwa wakati tumesahau kuwa katika mzunguko wa Kwanza tu kuna mechi kama nne hivi ambazo mbili tulifungwa Kimakusudi kabisa na mbili Timu ilicheza chini ya Kiwango na bahati nzuri hata Wachezaji wengi wao ni marafiki zetu na hawatufichi kitu.
Hata kama TFF ina matatizo yake ila na Klabu yangu ya Simba SC nadhani ndiyo ina matatizo makubwa na ya msingi kabisa ila hatuyasemi kwakuwa tunajificha katika mgongo wa kuilaumu TFF na Kamati ya Maadili na Hadhi kwa Wachezaji kuwa inatuhujumu na haitupendi Simba SC. Hivi TFF ya Malinzi ndiyo ilitufanya Simba SC tufungwe Kizembe zile mechi mbili za mzunguko wa Kwanza na Timu icheze mechi mbili zile chini ya Kiwango?
Ukweli ni kwamba Simba SC inafungwa au inafanya vibaya kutokana na Makundi hasimu na yaliyojaa Unafiki yanayoongozwa kwa 100% na Viongozi wa juu kabisa Rais Aveva na Makamu wake Kaburu. Aveva na Wapuuzi wenzake akina Kassim Dewji, Hanspoppe na Kirusi Kikubwa ndani ya Klabu ambeye ni mwana Yanga FC wa kufa Mtu Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Said Tully pamoja na Kaburu na Kundi lake la Wapuuzi wakiwemo akina Musley, Kajuna na Mnafiki mwingine aliyejipachika Cheo cha Chief Protocal wa Klabu Makoye ndiyo wanaoiua Simba SC kila mwaka.
Leo nayasema haya kwa Uchungu kabisa kwani Wana Simba SC wezangu pengine kwa mapungufu yetu ya Kufikiri vizuri huwa hatukai chini na kuitafakari Klabu yetu kwa marefu na mapana yake halafu tunakuja kudanganywa na Ushindi kwa kununua na sisi tunakaa huku kabisa tukiisifu Timu kuwa inafanya vizuri.
Kwa utaalam wangu wa mpira na kwa kucheza Kwangu mpira japo sikufika Kiwango cha akina Msuva, Messi, Kichuya na Ronaldo ila kwa uhakika kabisa naweza kusema kuwa katika Wachezaji wa Kigeni ambao Simba SC tumewasajili ni Wachezaji wawili tu ndiyo wana hadhi ya kuichezea Simba SC nao ni Golikipa kutoka nchini Ghana Daniel Agyei na Mghana mwenzie Kiungo James Kotei ila waliobaki wote ni takataka tupu na huwa najiuliza hivi Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Kapteni wa zamani wa JWTZ Zakaria Hansppope hawa Wachezaji huwa anaokotewa tu bure au anapewa misukule ya kuja kuisaidia Simba SC?
Haji Manara nenda ukapumzike ili ukirudi uje na adabu zote za Kiutendaji na hasa ujifunze nini Kazi au Majukumu ya Msemaji wa Klabu au Taasisi kwani Wewe hukuwa Msemaji wa Klabu kama inavyotakiwa na badala yake ulikuwa tu Muhuni na Mswahili uliyetukuka wa Klabu ya Simba SC ambaye pengine naweza kusema kuwa Kauli zako za Vitisho kwa Marefa zimeweza kutufanya Simba SC tuwe na wakati mgumu katika kila mechi.
Mwisho kwa Wana Simba SC wenzangu tafadhalini tu niwaombeni kuwa kuanzia sasa tujiandaeni tu Kisaikolojia kwamba Ubingwa huenda tukauchukua au tusiuchukue kwani kwa ninavyoijua Yanga FC na wanavyojua fitna za Kibongo uwezekano wa Simba SC yetu kuwa Bingwa ni mdogo kama vile Ngamia kupenya katika tundu la Sindano japo najua katika mpira lolote linaweza kutokea ila siyo kwa mpira wa Tanzania.
Pia tambueni kuwa hata mechi yetu ya Jumamosi ya ASFC dhidi ya Azam FC ni 50/50 ( lolote linaweza kutokea ) ila kwa Saikolojia ya mpira na kwa jinsi hali ya Klabu hasa wiki hizi mbili juu ya Kadi ya njano ya Fakhi na points za Kagera Sugar nisiwaficheni morale ya Timu sasa ipo chini mno na naona tena kwa mbali anguko jingine la Kufungwa na Azam FC Jumamosi ijayo.
Kwa leo naomba tu niishie hapa ila niseme tu kuwa Simba SC yetu haiwezi kufanya vizuri kwa Uongozi huu wa 10% uliopo Klabuni huku mmoja wa Kiongozi wa juu kabisa wa Timu akiwa ndiyo bingwa wa kuuza ramani ya vita kila kwa Azam FC kila Timu yetu inapocheza nayo ili Simba SC ikifungwa tu basi yeye anaenda kwa Bosi wa Azam na anavuta chake maisha yanaendelea.
Kwa uchambuzi huu uliyoushusha hapa, hakika nimeikubali. Lakini usishangae kuna wengine watakupinga, siyo kwa hoja Bali mihemko tu. Hilo ndiko tatizo la Simba kwa miaka ya hivi karibuni, kiongozi wote ni wajanja wajanja tuu, sasa wanatengeneza fix kwa wapenzi Na mashabiki wa klabu hili wapate sympathy. Big up mkuu, haya mambo yalikuwepo hata upande wa pili, Ila wanachama wakawatoa kwa bakora, hawakukubaliana Na huo ujinga.
Hana kadi tatu za njano..ndio maana alicheza..simba acheni upuuzi..Timu ya Simba haina quality...mpira wenu wa kihuni kama viongozi wenuHoja yake ni ya msingi kabisa je Fakhi ana kadi 3 au hapana, wao wanahamisha goli
Kuna michezo ya waremavu akawe kiongozi huko...mpuuzi wewe BMt ni serikali aiwezi ingilia maamuzi ya tff
Manara hana uwezo wa kunyamaza, watu wa aina yake kwenu mnawautaje?