HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
mezani fc every time kulia lia tu stupid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kyoma yule ameturudisha nyuma miaka 25 hivi kwa kina Mzee Ndolanga kheri TengaMalinzi ni ndugu yangu ila TFF yako hovyo kabisa. Najua wanakuandaa ugombee ubunge ila nakusubiri kukupinga kwa nguvu zangu zote
Hivi timu yako na Simba nani anatandaza kandanda la kuvutia..? Simba SC ndo Taifa Kubwa kwa Soka. Timu yako ni kuruka ruka tu uwanjani ndo maana mkienda nje round ya kwanza tu outHana kadi tatu za njano..ndio maana alicheza..simba acheni upuuzi..Timu ya Simba haina quality...mpira wenu wa kihuni kama viongozi wenu
Wewe ndo bashite kabisaNa wewe utakua ni mmojawapo wa mambumbumbu...kamati haiwezi kujadili hoja ya kadi tatu za njano kwakua kanuni za maombi ya kukata rufaa hayakufatwa....
1. Kuchelewa kupeleka malalamiko ndani ya masaa 72 jambo ambalo Simba walitoka nje ya mda... ( ikumbukwe kanuni hii ilitumika Polisi Dodoma walivyoikatia rufaa Thimba japokua walikua na vielelezo vya kutosha, mkafurahi sana, kwanini leo msifurahi?.. Mkuki kwa nguruwe sio)
2. Hamkulipia malipo ya rufaa yenu 300,000 Kama ilivyo kanuni... Japokua mnajitangazia mna pesa, sijui mlishindwaje laki 3, mlitegemea kubebwa hivi hivi.. Hilo ndio tatizo la kuwa na viongozi mambumbumbu...
3. Kikao cha bodi mnaletaje wageni waalikwa, waje kufanya nini, kwani mmesikia ni ufunguzi wa uwanja? Lakini hiyo yote ni hasara ya umbumbumbu... Rage alishajitoa kwenye umbumbumbu...
Sasa unapotaka zijadiliwe kadi 3 za njano,... Unaanzaje wakati kanuni zimekiukwa?
Kanuni ni kumvua pichu demu wako ndio ule zigo, wewe unaanza kugegeda bila kutoa pichu, halafu baadae unaanzaje kujadili mimba ambayo haiwezi kukaa mpaka pichu itolewe.... Amka!
Hivi unajua ulichokiandika, au ndo unaamka usingizini.. Au ndo tuseme wa msimbazi a. k. a mbumbumbu.... Kakojoe ulale tena dogo, bado hakujapambazuka.....Wewe ndo bashite kabisa
Sasa kama kanuni za maombi ya rufaa hazikukatwa. Kwanini uliokuwa mnazungusha viuno katika kutoa maamuzi..!?
Ukizungumzia hiyo nadharia basi kagera sugar anapaswa kunyanganywa alama 3 katika michezoyote aliyecheza mohammed fakhi na si vinginevyo.1. Kadi ya tatu ya njano ni ya kufikirika. Haikuwahi kutolewa. Hata wapinzani wa ile mechi husika [A. Lyon] wanakataa kuona tukio hilo
2. Kilichompa Simba pointi tatu za saa 72 ni kamati inayoundwa na wanasimba kwa zaidi ya robo tatu. Hawa walijaribu kutengeneza mazingira ya kuipatia pointi tatu. Ndio maana kuna pendekezo la baadhi ya wajumbe kuchukuliwa hatua.
3. Kagera Sugar walikata rufaa dhidi ya maamuzi onevu ya kubambikiwa kadi ya njano kwa ujanja ujanja tu. Hata waamuzi wamethibitisha hilo kwa kutoijumuisha kadi hiyo kwenye ripoti zao za baada ya mechi. Mengine ni uhuni wa soka tu.
4. Tuseme basi Fakhi ana kadi tatu za njano, toka mechi inayobishaniwa mpaka mechi ya Simba kuna mechi nne zimepita. Sasa ni kwa vipi pointi tatu apewe Simba aliyecheza mchezo wa tano toka kadi tatu? Kwa nini asipewe aliyecheza mechi iliyofuatia na Simba kupewa mkono wa shukurani kwa kukumbusha kadi tatu?
Hivi mpira ni uwanjani au mezani? Kumbukeni kuna watu huku uswazi tunawekeana dau, mpira ikishamalizika aliyeshinda anachukua amana yake na aliyeshindwa ansubiri duru jingine. Sasa huu mpira wa kuchezeshwa na vikao walioshinda dau na nyinyi uko mezani mkabatilisha matokeo nani atawaliap... au mnataka tuuane?Msemaji wa Simba aliepewa adhabu Haji Manara amelalamikia kutopewa haki ya kusikilizwa na chama cha mpira nchini. Manara amedai hati ya mashtaka ya TFF imemtuhumu kwa kutaja ukabila ila haielezi hata kosa moja walilomfungia nalo kati ya matatu waliyosema anayo.
Amedai ameandikiwa hati ya mashtaka nyingine na hukumu imesomwa kivingine, amesema vita ni kubwa kuliko watu wanavyofikira, amesisitiza ni war na sio battle.
Kuhusu adhabu ya Simba ameshangazwa na TFF kuzungumzia madai yawaalikwa na kuacha hoja ya msingi ya kadi tatu za njano.
Haji ameongeza TFF imekuwa mkubwa kuliko baraza la michezo nchini(BMT) na serikali kwani imepuuza maagizo yao na amedai anaweza kuzuiwa kuzungumzia habari za Simba lakini hawezi kuzuiwa kuzungumzia mpira. Ameongeza mpira nchi hii hauendi kwani mchana wanatoa hukumu nyingine na jioni wanatoa maamuzi mengine.
Manara ameongeza, Rais wa TFF, Jamal Malinzi na vyombo vyake vya TFF wanataka kuharibu soka nchini.
Soccer ni mchezo wa lawama sana hasa unapokuta unaongozwa na watu wasio wa soccer.
Hoja ya mthingi hapa je, Simba mlikata rufaa ndani ya muda? Je, kanuni za ukataji rufaa zilizingatiwa? Panga lililomfyeka Polish Dodoma ndo hilo hilo limewanyowa Simba! Simba chezeni mpira wa miguu jamani, hii siyo table tennis eti iamuliwe mezani!Hoja ya msingi Yule mchezaji ana kadi tatu za njano?
Uwe unashirikisha kichwa kuandika usitumie makalio tuuHuyu jamaa keshakatazwa kujhusisha na soka popote Duniani. Hiyo J4 akiongea chochote kinachohusiana na soka, akamatwe na apelekwe Kisutu kushtakiwa kwa kutoheshimu sheria. Kabla hajaongea chochote juu ya soka, akate kwanza rufaa na akishinda ndipo arudi kujihusisha na soka...
Ndio Maana Rage akawaita mambumbumbu.... Hiyo rufaaaa mliikata ndani ya wakati!!?? Najua Je mliiilipia!!?? ....mkumbuke polisi walikata rufaa dhidi ya Lufunga wakaambiwa walichelewa na hawakulipia mkabaki na ushindi.... Hakika ni mambumbumbuWajibu wa timu ni kukata rufaa ambapo ni moja ya sheria za soka duniani, bila shaka Simba walifanya hivyo
Sasa tuulize namna gani baada ya mechi au wale Tifutifu kuuliza ni moja ya sheria za soka.?
Kadi tatu hueanda anazo. Na je ni kweli mtu akigundulika kufanya kosa hilo anapewa goli tatu na point tatu? Maana isije kuwa ni kukimbiza ubingwa kwa kutafta tofauti ya magoli.Hoja yake ni ya msingi kabisa je Fakhi ana kadi 3 au hapana, wao wanahamisha goli
Samahani wadau hii thread inajitegemeaANZA SIKU NA BWANA KWA NENO NA MAOMBI
YOHANA 3:14 &15
14 Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
15 ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
Mpendwa Yesu aliinuliwa msalabani ili tuwe na uzima.
1.Je mimi ninaona
thamani ya kuinuliwa
kwake?
2.Je ninapenda uzima wa
milele?
3. Nimechukua hatua
gani?
Mpendwa kila mtu anapenda uzima wa milele ila dhambi zinatuvuta nje ya uzima.
■ Nini cha kufanya !
1.Mwamini Yesu na
umpokee kuwa
BWANA na MWOKOZI
wa maisha yako ili
akutoe kwenye tamaa
ya dhambi na kukuweka
HURU hatimaye upate
UZIMA WA MILELE.
2.Mwambie Yesu akuinue
katika kila eneo la
maisha yako ambalo
limekuwa ngumu kwako
hata umeshindwa
kuacha dhambi.
Barikiwa sana uwe na
Jumanne ya kuinuliwa
na YESU.
Hoja ya msingi Yule mchezaji ana kadi tatu za njano?
Samahani wadau hii thread inajitegemeaANZA SIKU NA BWANA KWA NENO NA MAOMBI
YOHANA 3:14 &15
14 Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
15 ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
Mpendwa Yesu aliinuliwa msalabani ili tuwe na uzima.
1.Je mimi ninaona
thamani ya kuinuliwa
kwake?
2.Je ninapenda uzima wa
milele?
3. Nimechukua hatua
gani?
Mpendwa kila mtu anapenda uzima wa milele ila dhambi zinatuvuta nje ya uzima.
■ Nini cha kufanya !
1.Mwamini Yesu na
umpokee kuwa
BWANA na MWOKOZI
wa maisha yako ili
akutoe kwenye tamaa
ya dhambi na kukuweka
HURU hatimaye upate
UZIMA WA MILELE.
2.Mwambie Yesu akuinue
katika kila eneo la
maisha yako ambalo
limekuwa ngumu kwako
hata umeshindwa
kuacha dhambi.
Barikiwa sana uwe na
Jumanne ya kuinuliwa
na YESU.