Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Thanks & respect.... Pamoja mkuuMy nigga my nigaa my niggaaa....
Kula 5 ya mbaaali..
Mtu wa 2 leo Namuita GENIUS humu leo..
Thaaaank u sir..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks & respect.... Pamoja mkuuMy nigga my nigaa my niggaaa....
Kula 5 ya mbaaali..
Mtu wa 2 leo Namuita GENIUS humu leo..
Thaaaank u sir..
Namna hiyo...Ingawa mimi ni shabiki wa Dar es Salaam Young African SC... Ningependa kutoa Shukrani kwa kunisaidia kutoa la Moyoni kuhusu klabu yenu ya Simba SC.
Binafsi ningependa Mashabiki wengi wa Msimbazi waweze kulitambua hili. Kwa kuwa mara nyingi Klabu yenu imekuwa ikiangukia pua.... na mara nyingi Viongozi wenu wamekuwa wakukwepa lawama kwa kutupia manung'uniko Upande mwingine ili tu waonekane kuwa wao wametimiza ya upande wao ila upande mwingine ndio unao kwamisha mambo.!
Na kwa hili wamekuwa wakifanikiwa kila nyakati pale Klabu inapoonekana kwenda kombo..... na mashabiki wengi wa simba wameoneka kwenda sambamba na upepo wa ngoma za Viongozi wa simba sc.
Post yako sijaisoma mpaka mwisho kwa sababu nipo busy ila nimeisave ili hata kama wataifuta kwenye jukwaa mi bado nitaiona.Mimi ni Mwana Simba tena wa Kindaki ndaki kabisa ila nimwombe tu Mfungwa mpya wa Guantanamo ya TFF Haji Manara kuwa atumie vizuri Kfungo hiki katika kujitahidi kuacha uvutaji wa Msuba kwani kiukweli ndiyo unaomuharibu kila kukicha ila Watu wanamlia tu kobisi kutokana na hali yake ya Kibinadamu aliyonayo ya akina ( Under the same Sun ) ila angekuwa na ngozi ya kawaida kama yetu nadhani sasa angeshagawana siku nyingi mno Majengo na Serikali.
Katika hili wana Simba SC wenzangu wala tusitafute mchawi na Mimi kama kawaida yangu kuwa huwa sitaki, sipendi na nachukia mno Unafiki na siku zote nitakuwa mkweli na very neutral katika arguments zangu. Ni kwamba Uongozi wa Simba SC umeshindwa kucheza mpira uwanjani na ukaonekana na sasa baada ya kuona Timu ilifungwa Kagera wakaona wafanye uhuni wao ambao kwa sisi Watu wa mpira tunaujua ili tu zile points tupewe na waweze kuwatuliza Mashabiki na Wanachama.
Ni jambo la aibu na la Kipumbavu sana Simba SC leo hii kuanza kulilia points za mbeleko kwa kisingizio kuwa tunautaka Ubingwa wakati tumesahau kuwa katika mzunguko wa Kwanza tu kuna mechi kama nne hivi ambazo mbili tulifungwa Kimakusudi kabisa na mbili Timu ilicheza chini ya Kiwango na bahati nzuri hata Wachezaji wengi wao ni marafiki zetu na hawatufichi kitu.
Hata kama TFF ina matatizo yake ila na Klabu yangu ya Simba SC nadhani ndiyo ina matatizo makubwa na ya msingi kabisa ila hatuyasemi kwakuwa tunajificha katika mgongo wa kuilaumu TFF na Kamati ya Maadili na Hadhi kwa Wachezaji kuwa inatuhujumu na haitupendi Simba SC. Hivi TFF ya Malinzi ndiyo ilitufanya Simba SC tufungwe Kizembe zile mechi mbili za mzunguko wa Kwanza na Timu icheze mechi mbili zile chini ya Kiwango?
Ukweli ni kwamba Simba SC inafungwa au inafanya vibaya kutokana na Makundi hasimu na yaliyojaa Unafiki yanayoongozwa kwa 100% na Viongozi wa juu kabisa Rais Aveva na Makamu wake Kaburu. Aveva na Wapuuzi wenzake akina Kassim Dewji, Hanspoppe na Kirusi Kikubwa ndani ya Klabu ambeye ni mwana Yanga FC wa kufa Mtu Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Said Tully pamoja na Kaburu na Kundi lake la Wapuuzi wakiwemo akina Musley, Kajuna na Mnafiki mwingine aliyejipachika Cheo cha Chief Protocal wa Klabu Makoye ndiyo wanaoiua Simba SC kila mwaka.
Leo nayasema haya kwa Uchungu kabisa kwani Wana Simba SC wezangu pengine kwa mapungufu yetu ya Kufikiri vizuri huwa hatukai chini na kuitafakari Klabu yetu kwa marefu na mapana yake halafu tunakuja kudanganywa na Ushindi kwa kununua na sisi tunakaa huku kabisa tukiisifu Timu kuwa inafanya vizuri.
Kwa utaalam wangu wa mpira na kwa kucheza Kwangu mpira japo sikufika Kiwango cha akina Msuva, Messi, Kichuya na Ronaldo ila kwa uhakika kabisa naweza kusema kuwa katika Wachezaji wa Kigeni ambao Simba SC tumewasajili ni Wachezaji wawili tu ndiyo wana hadhi ya kuichezea Simba SC nao ni Golikipa kutoka nchini Ghana Daniel Agyei na Mghana mwenzie Kiungo James Kotei ila waliobaki wote ni takataka tupu na huwa najiuliza hivi Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Kapteni wa zamani wa JWTZ Zakaria Hansppope hawa Wachezaji huwa anaokotewa tu bure au anapewa misukule ya kuja kuisaidia Simba SC?
Haji Manara nenda ukapumzike ili ukirudi uje na adabu zote za Kiutendaji na hasa ujifunze nini Kazi au Majukumu ya Msemaji wa Klabu au Taasisi kwani Wewe hukuwa Msemaji wa Klabu kama inavyotakiwa na badala yake ulikuwa tu Muhuni na Mswahili uliyetukuka wa Klabu ya Simba SC ambaye pengine naweza kusema kuwa Kauli zako za Vitisho kwa Marefa zimeweza kutufanya Simba SC tuwe na wakati mgumu katika kila mechi.
Mwisho kwa Wana Simba SC wenzangu tafadhalini tu niwaombeni kuwa kuanzia sasa tujiandaeni tu Kisaikolojia kwamba Ubingwa huenda tukauchukua au tusiuchukue kwani kwa ninavyoijua Yanga FC na wanavyojua fitna za Kibongo uwezekano wa Simba SC yetu kuwa Bingwa ni mdogo kama vile Ngamia kupenya katika tundu la Sindano japo najua katika mpira lolote linaweza kutokea ila siyo kwa mpira wa Tanzania.
Pia tambueni kuwa hata mechi yetu ya Jumamosi ya ASFC dhidi ya Azam FC ni 50/50 ( lolote linaweza kutokea ) ila kwa Saikolojia ya mpira na kwa jinsi hali ya Klabu hasa wiki hizi mbili juu ya Kadi ya njano ya Fakhi na points za Kagera Sugar nisiwaficheni morale ya Timu sasa ipo chini mno na naona tena kwa mbali anguko jingine la Kufungwa na Azam FC Jumamosi ijayo.
Kwa leo naomba tu niishie hapa ila niseme tu kuwa Simba SC yetu haiwezi kufanya vizuri kwa Uongozi huu wa 10% uliopo Klabuni huku mmoja wa Kiongozi wa juu kabisa wa Timu akiwa ndiyo bingwa wa kuuza ramani ya vita kila kwa Azam FC kila Timu yetu inapocheza nayo ili Simba SC ikifungwa tu basi yeye anaenda kwa Bosi wa Azam na anavuta chake maisha yanaendelea.
Post yako sijaisoma mpaka mwisho kwa sababu nipo busy ila nimeisave ili hata kama wataifuta kwenye jukwaa mi bado nitaiona.
Naomba kesho niikute ili nichangie hapa hapa, ila nisipoikuta lazma nikutate private kwa sababu nimekutana na msema kweli mwenzangu.
Maneno yako yanaonekana kabsa ni ya NJANO.manara ni wa kupuuzwa tu hana lolote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi ni wa simba lakini kwa koment nimejikuta nimecheka mkuu. Kumbe inawezekana hata ushindi tunaouona ni wa changa la machoHana kadi tatu za njano..ndio maana alicheza..simba acheni upuuzi..Timu ya Simba haina quality...mpira wenu wa kihuni kama viongozi wenu
mkuu mimi ni yanga ila umeongea kwa uchungu sana! sijui tuna mkosi ganiKiini cha matatizo yote haya ni udhaifu wa TFF na Club za soka nchini kuhusu utunzaji wa kumbukumbu za kila mechi za soka ki-eletronic, inachekesha watu wazima wanakaa siku 3 hadi 4 wakijadili kama mchezaji alipewa kadi ama lah.
Hii inadhihirisha kwamba tupo nyuma miaka 100 ki soka, ni bora tukatafuta kitu kingine cha kufanya - soka limeshatushinda tuwaachie wanaoliweza.
mkuu nimekusoma! naomba utusaidie kufanya utafiti pale tff kujua kama kuna ukabila,AksanteSawa, akhsante na karibu sana Mkuu. Kusema ukweli, kutwa neutral na kutokuwa mnafiki ndiyo imekuwa jadi yangu siku zote zile za maisha yangu iwe humu JF au hata katika uhalisia wangu wa maisha na ndiyo Watu wengi wanapenda kuniambia kuwa Mimi ni Mtu nisiyetabirika kitu ambacho ni ukweli mtupu.
Sawa nitakushukuru sana hiyo Kesho ukija nawe kutiririka humu JF kama ulivyotuahidi Mkuu.
Mtu mwenye ngenga!huyo bora akupige mateke kuliko akianza ku shoot mdomo! Unaweza pata stroke!Manara hana uwezo wa kunyamaza, watu wa aina yake kwenu mnawautaje?
Rufaa zote ni mara baada ya mechi sasa kwa swali lako labda ulitaka wauliza kabla ya mechi au?Kwa nini hamkuuliza hilo mara baada ya mechi?
mkuu nimekusoma! naomba utusaidie kufanya utafiti pale tff kujua kama kuna ukabila,Aksante
Hii siyo kauli nzuri hapo ulipo unajuaje kesho, usicheke ulemavu wa mwenzako kesho unaweza kutwa umekatika miguu yote je utazuiwa kusema.Huyu nazani akatetee haki za walemavu mpira umeisha mshinda
Mimi ni Mwana Simba tena wa Kindaki ndaki kabisa ila nimwombe tu Mfungwa mpya wa Guantanamo ya TFF Haji Manara kuwa atumie vizuri Kfungo hiki katika kujitahidi kuacha uvutaji wa Msuba kwani kiukweli ndiyo unaomuharibu kila kukicha ila Watu wanamlia tu kobisi kutokana na hali yake ya Kibinadamu aliyonayo ya akina ( Under the same Sun ) ila angekuwa na ngozi ya kawaida kama yetu nadhani sasa angeshagawana siku nyingi mno Majengo na Serikali.
Katika hili wana Simba SC wenzangu wala tusitafute mchawi na Mimi kama kawaida yangu kuwa huwa sitaki, sipendi na nachukia mno Unafiki na siku zote nitakuwa mkweli na very neutral katika arguments zangu. Ni kwamba Uongozi wa Simba SC umeshindwa kucheza mpira uwanjani na ukaonekana na sasa baada ya kuona Timu ilifungwa Kagera wakaona wafanye uhuni wao ambao kwa sisi Watu wa mpira tunaujua ili tu zile points tupewe na waweze kuwatuliza Mashabiki na Wanachama.
Ni jambo la aibu na la Kipumbavu sana Simba SC leo hii kuanza kulilia points za mbeleko kwa kisingizio kuwa tunautaka Ubingwa wakati tumesahau kuwa katika mzunguko wa Kwanza tu kuna mechi kama nne hivi ambazo mbili tulifungwa Kimakusudi kabisa na mbili Timu ilicheza chini ya Kiwango na bahati nzuri hata Wachezaji wengi wao ni marafiki zetu na hawatufichi kitu.
Hata kama TFF ina matatizo yake ila na Klabu yangu ya Simba SC nadhani ndiyo ina matatizo makubwa na ya msingi kabisa ila hatuyasemi kwakuwa tunajificha katika mgongo wa kuilaumu TFF na Kamati ya Maadili na Hadhi kwa Wachezaji kuwa inatuhujumu na haitupendi Simba SC. Hivi TFF ya Malinzi ndiyo ilitufanya Simba SC tufungwe Kizembe zile mechi mbili za mzunguko wa Kwanza na Timu icheze mechi mbili zile chini ya Kiwango?
Ukweli ni kwamba Simba SC inafungwa au inafanya vibaya kutokana na Makundi hasimu na yaliyojaa Unafiki yanayoongozwa kwa 100% na Viongozi wa juu kabisa Rais Aveva na Makamu wake Kaburu. Aveva na Wapuuzi wenzake akina Kassim Dewji, Hanspoppe na Kirusi Kikubwa ndani ya Klabu ambeye ni mwana Yanga FC wa kufa Mtu Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Said Tully pamoja na Kaburu na Kundi lake la Wapuuzi wakiwemo akina Musley, Kajuna na Mnafiki mwingine aliyejipachika Cheo cha Chief Protocal wa Klabu Makoye ndiyo wanaoiua Simba SC kila mwaka.
Leo nayasema haya kwa Uchungu kabisa kwani Wana Simba SC wezangu pengine kwa mapungufu yetu ya Kufikiri vizuri huwa hatukai chini na kuitafakari Klabu yetu kwa marefu na mapana yake halafu tunakuja kudanganywa na Ushindi kwa kununua na sisi tunakaa huku kabisa tukiisifu Timu kuwa inafanya vizuri.
Kwa utaalam wangu wa mpira na kwa kucheza Kwangu mpira japo sikufika Kiwango cha akina Msuva, Messi, Kichuya na Ronaldo ila kwa uhakika kabisa naweza kusema kuwa katika Wachezaji wa Kigeni ambao Simba SC tumewasajili ni Wachezaji wawili tu ndiyo wana hadhi ya kuichezea Simba SC nao ni Golikipa kutoka nchini Ghana Daniel Agyei na Mghana mwenzie Kiungo James Kotei ila waliobaki wote ni takataka tupu na huwa najiuliza hivi Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Kapteni wa zamani wa JWTZ Zakaria Hansppope hawa Wachezaji huwa anaokotewa tu bure au anapewa misukule ya kuja kuisaidia Simba SC?
Haji Manara nenda ukapumzike ili ukirudi uje na adabu zote za Kiutendaji na hasa ujifunze nini Kazi au Majukumu ya Msemaji wa Klabu au Taasisi kwani Wewe hukuwa Msemaji wa Klabu kama inavyotakiwa na badala yake ulikuwa tu Muhuni na Mswahili uliyetukuka wa Klabu ya Simba SC ambaye pengine naweza kusema kuwa Kauli zako za Vitisho kwa Marefa zimeweza kutufanya Simba SC tuwe na wakati mgumu katika kila mechi.
Mwisho kwa Wana Simba SC wenzangu tafadhalini tu niwaombeni kuwa kuanzia sasa tujiandaeni tu Kisaikolojia kwamba Ubingwa huenda tukauchukua au tusiuchukue kwani kwa ninavyoijua Yanga FC na wanavyojua fitna za Kibongo uwezekano wa Simba SC yetu kuwa Bingwa ni mdogo kama vile Ngamia kupenya katika tundu la Sindano japo najua katika mpira lolote linaweza kutokea ila siyo kwa mpira wa Tanzania.
Pia tambueni kuwa hata mechi yetu ya Jumamosi ya ASFC dhidi ya Azam FC ni 50/50 ( lolote linaweza kutokea ) ila kwa Saikolojia ya mpira na kwa jinsi hali ya Klabu hasa wiki hizi mbili juu ya Kadi ya njano ya Fakhi na points za Kagera Sugar nisiwaficheni morale ya Timu sasa ipo chini mno na naona tena kwa mbali anguko jingine la Kufungwa na Azam FC Jumamosi ijayo.
Kwa leo naomba tu niishie hapa ila niseme tu kuwa Simba SC yetu haiwezi kufanya vizuri kwa Uongozi huu wa 10% uliopo Klabuni huku mmoja wa Kiongozi wa juu kabisa wa Timu akiwa ndiyo bingwa wa kuuza ramani ya vita kila kwa Azam FC kila Timu yetu inapocheza nayo ili Simba SC ikifungwa tu basi yeye anaenda kwa Bosi wa Azam na anavuta chake maisha yanaendelea.
mkuu kama unaharaka ni bora ungeenda huko unakoharakia kisha baadae ndiyo uandike.Una vitu vizuri vya kuandika ,lakini uandishi huu haukubaliki kabisa ,andika maneno yaliyokamilikaKilichompa simba point tatu c kard za Fakhi,,,,ila n mapnz bnafs+ukosefu wa welded miongon mwao wt walokaa kujadil rufaa ya Simba
Kaa vzr unielewe,,,je n nn kilichowafany kamat72 kujadil rufaa ambayo haijalipiw?
Hawakujua kisheria n kosa?
N nn kiliwafany waijadil rufaa ilofka nje ya masaa huska??
Kp kiliwapelekea kamat kualika wagen???
Wnynw wakikuw hawajitoshelez ama kanun iliwaagiza hvy?
Elew hv hvy vyt vingefanyk ktk hal sahh kikanun pasi na shaka Simba alikuw anapew point tena kihalal
Ha haaa...popoma.katika ubora wake mzee wa POPOMA,ala kumbe Manara alisahaulika kwenye orodha ya Bashite
Jitahidi kufikiria mara mbili kabla ya kuandika kama ulivyoandika upuuzi wako, mpira hauko hivyo.Huyu nazani akatetee haki za walemavu mpira umeisha mshinda
Sijawahi kukubaliana na wewe lakini leo I salute.Kwa uchambuzi huu uliyoushusha hapa, hakika nimeikubali. Lakini usishangae kuna wengine watakupinga, siyo kwa hoja Bali mihemko tu. Hilo ndiko tatizo la Simba kwa miaka ya hivi karibuni, kiongozi wote ni wajanja wajanja tuu, sasa wanatengeneza fix kwa wapenzi Na mashabiki wa klabu hili wapate sympathy. Big up mkuu, haya mambo yalikuwepo hata upande wa pili, Ila wanachama wakawatoa kwa bakora, hawakukubaliana Na huo ujinga.