Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

Malinzi ni ndugu yangu ila TFF yako hovyo kabisa. Najua wanakuandaa ugombee ubunge ila nakusubiri kukupinga kwa nguvu zangu zote
Aiseee kyoma yule ameturudisha nyuma miaka 25 hivi kwa kina Mzee Ndolanga kheri Tenga
 
Hana kadi tatu za njano..ndio maana alicheza..simba acheni upuuzi..Timu ya Simba haina quality...mpira wenu wa kihuni kama viongozi wenu
Hivi timu yako na Simba nani anatandaza kandanda la kuvutia..? Simba SC ndo Taifa Kubwa kwa Soka. Timu yako ni kuruka ruka tu uwanjani ndo maana mkienda nje round ya kwanza tu out

Na kwa taarifa yako Simba inajulikana sana nje kuliko Yanga.. Tafakari
 
Wewe ndo bashite kabisa

Sasa kama kanuni za maombi ya rufaa hazikukatwa. Kwanini uliokuwa mnazungusha viuno katika kutoa maamuzi..!?
 
Amepewa adhabu ya kujihusisha na klabu yake ya Simba ambayo ni mwanachama/familia ya TFF na siyo kutoa personal views.kwa sasa yuko huru kuwasasambua TFF kama mshabiki asiyehusika na klabu yoyote.Je akiwa kiongozi wa timu za ndondo inakuwaje hapa wadau wa soka?
 
Huyo Manara anavyowashambulia wenzake kikabila je na yeye atajisikia vizuri watu wakimshambulia kwa ulemavu wake??
 
Wewe ndo bashite kabisa

Sasa kama kanuni za maombi ya rufaa hazikukatwa. Kwanini uliokuwa mnazungusha viuno katika kutoa maamuzi..!?
Hivi unajua ulichokiandika, au ndo unaamka usingizini.. Au ndo tuseme wa msimbazi a. k. a mbumbumbu.... Kakojoe ulale tena dogo, bado hakujapambazuka.....
 
Ukizungumzia hiyo nadharia basi kagera sugar anapaswa kunyanganywa alama 3 katika michezoyote aliyecheza mohammed fakhi na si vinginevyo.

All in all kwa hili tff wamevurunda, tukirejea kwenye swala la simba kuhusu pointi 3 iwe simba amepeleka rufaa au la ilipaswa kagera anyang'anywe alama hizo 3, turejee tukio la msimu uliopita ambapo azam alinyang'anywa alama 3 kwa kosa la kumchezesha erasto nyoni ambaye alikuwa na kadi 3 za njano hivyo na alama hizo kupewa mbeya city. So kunyang'anywa kwa alama kagera hapo awali ilikuwa sahihi.

Na kuhusu kadi 3 inaonekana mohammedi fakhi ana kadi 3 za njano maana ameambiwa mchezo Ujao asicheze ili waweze kuclear hili.
 
Hivi mpira ni uwanjani au mezani? Kumbukeni kuna watu huku uswazi tunawekeana dau, mpira ikishamalizika aliyeshinda anachukua amana yake na aliyeshindwa ansubiri duru jingine. Sasa huu mpira wa kuchezeshwa na vikao walioshinda dau na nyinyi uko mezani mkabatilisha matokeo nani atawaliap... au mnataka tuuane?
 
Soccer ni mchezo wa lawama sana hasa unapokuta unaongozwa na watu wasio wa soccer.


Narudia tena kuwakumbusha maneno yangu ya huko nyuma kuwa Jamal Malinzi aligombea uongozi wa TFF sio kukuza mchezo wa mpira bali kujinufaisha yeye mwenyewe na hilo limethibitika!!!!! Msijemkarudia makosa mliyoyafanya kumpa uongozi tena!!!
 
Hoja ya msingi Yule mchezaji ana kadi tatu za njano?
Hoja ya mthingi hapa je, Simba mlikata rufaa ndani ya muda? Je, kanuni za ukataji rufaa zilizingatiwa? Panga lililomfyeka Polish Dodoma ndo hilo hilo limewanyowa Simba! Simba chezeni mpira wa miguu jamani, hii siyo table tennis eti iamuliwe mezani!
 
Uwe unashirikisha kichwa kuandika usitumie makalio tuu
 
ligi ya nyumbani..ninayoishabikia ni EPL ...endeleeni kubabaisha na ushabiki maandazi wa mikia na kandambili...
 
Wajibu wa timu ni kukata rufaa ambapo ni moja ya sheria za soka duniani, bila shaka Simba walifanya hivyo

Sasa tuulize namna gani baada ya mechi au wale Tifutifu kuuliza ni moja ya sheria za soka.?
Ndio Maana Rage akawaita mambumbumbu.... Hiyo rufaaaa mliikata ndani ya wakati!!?? Najua Je mliiilipia!!?? ....mkumbuke polisi walikata rufaa dhidi ya Lufunga wakaambiwa walichelewa na hawakulipia mkabaki na ushindi.... Hakika ni mambumbumbu
 
ANZA SIKU NA BWANA KWA NENO NA MAOMBI
YOHANA 3:14 &15
14 Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
15 ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
Mpendwa Yesu aliinuliwa msalabani ili tuwe na uzima.
1.Je mimi ninaona
thamani ya kuinuliwa
kwake?
2.Je ninapenda uzima wa
milele?
3. Nimechukua hatua
gani?
Mpendwa kila mtu anapenda uzima wa milele ila dhambi zinatuvuta nje ya uzima.
■ Nini cha kufanya !
1.Mwamini Yesu na
umpokee kuwa
BWANA na MWOKOZI
wa maisha yako ili
akutoe kwenye tamaa
ya dhambi na kukuweka
HURU hatimaye upate
UZIMA WA MILELE.
2.Mwambie Yesu akuinue
katika kila eneo la
maisha yako ambalo
limekuwa ngumu kwako
hata umeshindwa
kuacha dhambi.
Barikiwa sana uwe na
Jumanne ya kuinuliwa
na YESU.
 
Hoja yake ni ya msingi kabisa je Fakhi ana kadi 3 au hapana, wao wanahamisha goli
Kadi tatu hueanda anazo. Na je ni kweli mtu akigundulika kufanya kosa hilo anapewa goli tatu na point tatu? Maana isije kuwa ni kukimbiza ubingwa kwa kutafta tofauti ya magoli.
 
Samahani wadau hii thread inajitegemea
 
Kuwa na kadi hata Lufunga Alikuwa nayo HOJA YA MSINGI NI MMEKATA RUFAA NDANI YA MUDA NA JE MMELIPIA ADA YA RUFAAAA!!?? Mlichekelea Sana kwa polisi.... Wembe ule ule uliomnyoa Polisi ndio umewanyoa na nyinyi mbumbumbu Fc
Hoja ya msingi Yule mchezaji ana kadi tatu za njano?
 
Samahani wadau hii thread inajitegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…