Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

Umeongea vema sana lakin nikuulize kipi kilimpa simba point tatu kabla ya kurudishwa kwa kagera jana?? Na jana maamuzi yalikua kuchelewesha laki 3 au hana kadi za njano tatu au rufaa ilikosewa??
Jibu ni kwamba Simba alipewa point kimakosa sababu Rufaa yao ilikatwa nje ya Kanuni na utaratibu....
 
Hebu jibu nilichouliza halaf tuje kwa ishu ya simba kupenya,,,hata serengeti boys wamepenya kwa mezan vike vile
Aiseeee
1. Serengeti walizimgatia muda,wakalipa na malipo ndo maana walipewa ushindi
2. Polisi hawakizingatia muda ndo pointi zilibaki simba
3. Simba hawakuzingatia muda na ada hawakulipa ndo maana pointi zimebaki kagera

Kama walichofanya simba ndio walichofanya polisi: basi walichopewa simba ndicho walichopewa kagera regardless ana kadi 3 au hana.
 
Ndio Maana Rage akawaita mambumbumbu.... Hiyo rufaaaa mliikata ndani ya wakati!!?? Najua Je mliiilipia!!?? ....mkumbuke polisi walikata rufaa dhidi ya Lufunga wakaambiwa walichelewa na hawakulipia mkabaki na ushindi.... Hakika ni mambumbumbu
Wewe na rage wote si papai tu. Sasa kama rufaa haikwatwa ndani ya wakati, kwanini sasa mlikuwa mnazungusha viuno katika kutoa maamuzi yake kwa kamati zetu za ovyo.!
 
kwakweli Malinzi ni shujaa atakumbukwa sana kwa kitendo chake cha kishujaa.
 
Simba acheni kelele. Kagera Sugar iliwanyoosha hivyo jiandae na mechi ya Jumamos dhidi ya Azam.
 
Kiini cha matatizo yote haya ni udhaifu wa TFF na Club za soka nchini kuhusu utunzaji wa kumbukumbu za kila mechi za soka ki-eletronic, inachekesha watu wazima wanakaa siku 3 hadi 4 wakijadili kama mchezaji alipewa kadi ama lah.

Hii inadhihirisha kwamba tupo nyuma miaka 100 ki soka, ni bora tukatafuta kitu kingine cha kufanya - soka limeshatushinda tuwaachie wanaoliweza.
 
mpuuzi wewe BMt ni serikali aiwezi ingilia maamuzi ya tff
Hapo ndipo nnaposhangaa manara anavyotaka TZ ifungiwe kabisa na FIFA,Serikali wampuuze huyo manara asije pelekea nchi kufungiwa.
Ni ajabu na kweli kua japo manara anajiita ofisa habari wa simba,ila hajui prinsipal za mpira duniani
 
Nmekuelew na nahc na mbumbumbu nao wameshakusoma,,,,kisu n kilekike kilichomchinja mnyama yule*2
 
Umeongea vema sana lakin nikuulize kipi kilimpa simba point tatu kabla ya kurudishwa kwa kagera jana?? Na jana maamuzi yalikua kuchelewesha laki 3 au hana kadi za njano tatu au rufaa ilikosewa??
Kilichompa simba point tatu c kard za Fakhi,,,,ila n mapnz bnafs+ukosefu wa welded miongon mwao wt walokaa kujadil rufaa ya Simba
Kaa vzr unielewe,,,je n nn kilichowafany kamat72 kujadil rufaa ambayo haijalipiw?
Hawakujua kisheria n kosa?
N nn kiliwafany waijadil rufaa ilofka nje ya masaa huska??
Kp kiliwapelekea kamat kualika wagen???
Wnynw wakikuw hawajitoshelez ama kanun iliwaagiza hvy?
Elew hv hvy vyt vingefanyk ktk hal sahh kikanun pasi na shaka Simba alikuw anapew point tena kihalal
 
Huyu nae si afunge domo lake? Bilashaka atakuwa mlemavu wa ngozi na akili pia
Tema mate chini. Ya Dunia ni mengi sana. Muogope Mungu wako. Hatujui kesho yetu!
 
Mkuu GENTAMYCINE umeshusha nondo za nguvu. Mimi kama mwanamsimbazi nakiri ukweli wa yote uliosema. Nafahamu sarakasi za usajili wa yule golikipa wa Mtibwa HUSSEIN SHARIF - CASILLAS.

Nafahamu majambazi yetu yanayojiita viongozi walichomfanya kipa yule mpk kurudi zake mtibwa na baadae kwenda zake kwa mecky Bukoba!
 
Sidhani kama Simba hawajaelewa, ila wanajitoa akili tudhani kuwa hawajaelewa
 
Uso wa binadamu umeumbwa na haya, lakini hawa wenzetu wameumbwa na uso wa chuma. Hivi, umetandikwa magoli mawili UWANJANI mchana kweupeee, hakuna la off side wala timu iliyorusha vyupa uwanjani, mtu mzima...mwanaume na akili zako unaamka na sababu za kuokoteza kama mdada eti kadi...kuna mtu anaweza kunieleza hizo kadi zilichangiaje Simba kupigwa katerero mbili?
 
My nigga my nigaa my niggaaa....
Kula 5 ya mbaaali..
Mtu wa 2 leo Namuita GENIUS humu leo..
Thaaaank u sir..
 
Ingawa mimi ni shabiki wa Dar es Salaam Young African SC... Ningependa kutoa Shukrani kwa kunisaidia kutoa la Moyoni kuhusu klabu yenu ya Simba SC.

Binafsi ningependa Mashabiki wengi wa Msimbazi waweze kulitambua hili. Kwa kuwa mara nyingi Klabu yenu imekuwa ikiangukia pua.... na mara nyingi Viongozi wenu wamekuwa wakukwepa lawama kwa kutupia manung'uniko Upande mwingine ili tu waonekane kuwa wao wametimiza ya upande wao ila upande mwingine ndio unao kwamisha mambo.!

Na kwa hili wamekuwa wakifanikiwa kila nyakati pale Klabu inapoonekana kwenda kombo..... na mashabiki wengi wa simba wameoneka kwenda sambamba na upepo wa ngoma za Viongozi wa simba sc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…