Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

Namna hiyo...
 
Post yako sijaisoma mpaka mwisho kwa sababu nipo busy ila nimeisave ili hata kama wataifuta kwenye jukwaa mi bado nitaiona.

Naomba kesho niikute ili nichangie hapa hapa, ila nisipoikuta lazma nikutate private kwa sababu nimekutana na msema kweli mwenzangu.
 

Sawa, akhsante na karibu sana Mkuu. Kusema ukweli, kutwa neutral na kutokuwa mnafiki ndiyo imekuwa jadi yangu siku zote zile za maisha yangu iwe humu JF au hata katika uhalisia wangu wa maisha na ndiyo Watu wengi wanapenda kuniambia kuwa Mimi ni Mtu nisiyetabirika kitu ambacho ni ukweli mtupu.

Sawa nitakushukuru sana hiyo Kesho ukija nawe kutiririka humu JF kama ulivyotuahidi Mkuu.
 
Tatizo lenu wengi mnao toa maoni hapa, mnaleta usimba na uyanga hii hatutakaa tuendelee kisoka kamwe. Hata kama manara anahatia si lazima kutoa adhabu za kufingia watu, faini za fedha zinatosha sana kuadhibu watu, TFF kuna shida tena ipo wazi, waliopo pale si watu wa kuendeleza mpira wa nchi hii.
 
Hana kadi tatu za njano..ndio maana alicheza..simba acheni upuuzi..Timu ya Simba haina quality...mpira wenu wa kihuni kama viongozi wenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi ni wa simba lakini kwa koment nimejikuta nimecheka mkuu. Kumbe inawezekana hata ushindi tunaouona ni wa changa la macho
 
mkuu mimi ni yanga ila umeongea kwa uchungu sana! sijui tuna mkosi gani
 
mkuu nimekusoma! naomba utusaidie kufanya utafiti pale tff kujua kama kuna ukabila,Aksante
 
mkuu nimekusoma! naomba utusaidie kufanya utafiti pale tff kujua kama kuna ukabila,Aksante

Utafiti wa Ukabila katika Jamii nyingi au kubwa ya Waafrika historically ni kitu cha kawaida sana Mkuu na mpaka leo hii maeneo mengi ya Kiutawala tunaliishi na kwa hapa Tanzania sasa ndiyo limeshaoota mizizi na tunahitaji nguvu kubwa ya ziada ambayo ni ya Kimjadala zaidi kama siyo ya Kikatiba ili kulimaliza.

Nadhani kwa maelezo yangu hapo juu nitakuwa nimekujibu swali lako mujarab kabisa kuhusiana na Ukabila ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF ). Kila la kheri.
 
Huyu nazani akatetee haki za walemavu mpira umeisha mshinda
Hii siyo kauli nzuri hapo ulipo unajuaje kesho, usicheke ulemavu wa mwenzako kesho unaweza kutwa umekatika miguu yote je utazuiwa kusema.
 
katika ubora wake mzee wa POPOMA,ala kumbe Manara alisahaulika kwenye orodha ya Bashite
 
mkuu kama unaharaka ni bora ungeenda huko unakoharakia kisha baadae ndiyo uandike.Una vitu vizuri vya kuandika ,lakini uandishi huu haukubaliki kabisa ,andika maneno yaliyokamilika
 
Sijawahi kukubaliana na wewe lakini leo I salute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…