Wadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi
My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani