Sema kimeumanaaa!!!Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Kumbee!!!Msichokijuwa hizi ni laana za Maalim Seif Sharrif Hamad zinamuandama.
Alikuwa anamtukana sana Mzee wa watu kwenye majukwaa ya ccm bila adabu kama mzazi wake.
mi naona hii ni mpango ya chama tawala 🤣Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Looh, sijui snitch gani kam-fixUnajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Bugatti kaanikwa...Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Kummmk walai, shida ni unaanzaje kuwaangalia uliowadiss ukiwa mafichoni. Ubaya wa Diss za kizani ni huwa unafunguka full chargeUnajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Mkuu unakabia juu yaani unapress hadi hii umeitambuami naona hii ni mpango ya chama tawala 🤣