Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

haiwezekani kila kukiwa na hali tata --- kuwe na kakiskendo --- maana leo mei mosi, huku padri wa tec kajeruhiwa , hapohapo balaa la lissu hili.

mimi naona hii ni michezo
Aya twendeni tutafika tu lkn tujue binadamu wote wanamatamanio tena hamna binadamu Yuko tayari kuwa chini ya mwingine kwa hiyo waliopojuu kamwa hawatakubali kushuku kizembe kila means watafanya kuhakikisha wanabaki
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja. Huo msemo umetimia sasa. Nilikuwa mmojawapo wa wana JF wengi sana tuliwaonya hao GSM hapa jukwaani kuwa aina ya watu kama Haji sio wa kuwa nao karibu hata chembe wakati ule Haji anamtukana Mo mitandaoni kila siku Tuliwaambia kabisa kuwa wakati ule walikuwa wanafurahi MO kutukanwa itafika siku na wao yatawakuta. Na baadhi walienda mbali kuwaomba hao GSM wamkemee Manara aache kumtukana MO lakini wao walikaa kimya wakaona hayawahusu na Manara akaedelea kumtukana MO.

Anyway niwape pole tu GSM kwa yaliyowakuta lakini natumaini watampotezea tu huyo Manara kama Mo alivyompotezea. Naamini pia GSM watakuwa wamejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwenye kashfa ya Manara.
 
Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.


View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA

Alichokifanya manara ndio tabia ya watanzania wengi wapo very interested kuongelea watu kuliko marndeleo yao, umbea ndio tabia ya watanzania ,hata ukienda nje usithubutu kuzoeana na watanzania ni kama wachawi tu, hii haji manara mungu amemtoa iwe funzo kwa wambea na was3ngenyaji wengine, mwanaume unakaa na watu baada ya kujadili madili ya hela unamuwaza mwqnaume mwenzako
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja. Huo msemo umetimia sasa. Nilikuwa mmojawapo wa wana JF wengi sana tuliwaonya hao GSM hapa jukwaani kuwa aina ya watu kama Haji sio wa kuwa nao karibu hata chembe wakati ule Haji anamtukana Mo mitandaoni kila siku Tuliwaambia kabisa kuwa wakati ule walikuwa wanafurahi MO kutukanwa itafika siku na wao yatawakuta. Na baadhi walienda mbali kuwaomba hao GSM wamkemee Manara aache kumtukana MO lakini wao walikaa kimya wakaona hayawahusu na Manara akaedelea kumtukana MO.

Anyway niwape pole tu GSM kwa yaliyowakuta lakini natumaini watampotezea tu huyo Manara kama Mo alivyompotezea. Naamini pia GSM watakuwa wamejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwenye kashfa ya Manara.
Kwa jinsi huyu zeruzeru alivyolelewa na GSM ilitakiwa awe Chawa na Royal kwa GSM kuliko Mwijaku anavyojipendekeza.

Hata ningekuwa ni mimi nalelewa na Tajiri kama alivyolelewa Haji yani ukimsema vibaya tajiri tu kwanza utaanza kupambana na mimi, sasa ajabu Haji eti ndio anamsema tajiri haya ni maajabu.
 
Alichokifanya manara ndio tabia ya watanzania wengi wapo very interested kuongelea watu kuliko marndeleo yao, umbea ndio tabia ya watanzania ,hata ukienda nje usithubutu kuzoeana na watanzania ni kama wachawi tu, hii haji manara mungu amemtoa iwe funzo kwa wambea na was3ngenyaji wengine, mwanaume unakaa na watu baada ya kujadili madili ya hela unamuwaza mwqnaume mwenzako
Kuna jamaa yangu mmoja anasemaga wazi wewe kama unaona jambo ni siri kaa nalo mwenyewe, ukimwambia yeye lazima aseme hasa hizi tabia za kusimanga watu watu, akija muhusika anamwambia yote, huyo jamaa anaogopwa mtaani yeye ni bahari hakai na uchafu.
 
Msichokijuwa hizi ni laana za Maalim Seif Sharrif Hamad zinamuandama.

Alikuwa anamtukana sana Mzee wa watu kwenye majukwaa ya ccm bila adabu kama mzazi wake.
Ukweli Maalim Seif hakuwa mtu wa visasi, mtakatifu yule. Ubaya wote aliofanyiwa na CCM alimwachia Mungu hakuwalaani hawa mafedhuli.
Sasa huyo mpumbavu manara ndo amkoseshe pepo Maalim? Laana za Manara kazipata huko kwenye uzinzi na kutukana Yanga wote kwamba hawana akili.
 
Pia naona hajawasema vibaya wote, zaidi kawasifia kua ni wazuri sana japo wamefanya sajeri, aliyenangwa ni Alikiba, Ruby, Chino na huyo Uwoya wa kuitwa takataka🤣🤣🤣🙌🏻
Mkuu sorry mfano rafiki yako akae na watu awasimulie mambo ya mkeo ya sajari ni vizuri ivo au asimulie michepuko yako si anaharibu image yako kwa familia yako na kwa jamii kwa maana kuna jamii inakuheshimu hasa viongozi wa dini maana michepuko ni zinaa.
 
Back
Top Bottom