Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

Kwann hizi habari huwa zinakuja nyakati hizi ambazo wananchi wanahitaji attention katika mambo muhimu .
Ndio ujue kwamba zinaletwa kwa makusudi maalumu na huwa zinatengenezwa na kufadhiliwa kutoka ofisi kuu japo ni kwa hela kidogo sana.
 
Back
Top Bottom