DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kwann hizi habari huwa zinakuja nyakati hizi ambazo wananchi wanahitaji attention katika mambo muhimu .
Kiba si anajitapa hom boy wake wa Kariakoo mwenzakePia naona hajawasema vibaya wote, zaidi kawasifia kua ni wazuri sana japo wamefanya sajeri, aliyenangwa ni Alikiba, Ruby, Chino na huyo Uwoya wa kuitwa takataka🤣🤣🤣🙌🏻
Yaani NomaKummmk walai, shida ni unaanzaje kuwaangalia uliowadiss ukiwa mafichoni. Ubaya wa Diss za kizani ni huwa unafunguka full charge
🤣🤣🤣🤣🤣 hii comment imenifanya nimkumbuke To yeye sijui kama amefika hapa.Kamudomo👄
Nani utooooo!? Excuse me!!!Acha utopolo wee, semaji ni mmoja tu anajulikana, Ahmed Ally. Hii utopolo nyingine itafute jina jingine.
Aise,nasikia wanamlipia nyumba nk hata safari zake wanazigharamia....sema ndiyo hivyo jamaa domo domo sanaKwa jinsi huyu zeruzeru alivyolelewa na GSM ilitakiwa awe Chawa na Royal kwa GSM kuliko Mwijaku anavyojipendekeza.
Hata ningekuwa ni mimi nalelewa na Tajiri kama alivyolelewa Haji yani ukimsema vibaya tajiri tu kwanza utaanza kupambana na mimi, sasa ajabu Haji eti ndio anamsema tajiri haya ni maajabu.
Kwa hiyo uwoya kapitiwa siyoPia naona hajawasema vibaya wote, zaidi kawasifia kua ni wazuri sana japo wamefanya sajeri, aliyenangwa ni Alikiba, Ruby, Chino na huyo Uwoya wa kuitwa takataka🤣🤣🤣🙌🏻
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kamdomo kamdomo kamdomo 🙄
Kanyea kambiAise,nasikia wanamlipia nyumba nk hata safari zake wanazigharamia....sema ndiyo hivyo jamaa domo domo sana
Ova
Na wale walivyokuwa makauzuKanyea kambi
Amesema michepuko ya nani? Pia sajari sio jambo la ajabu mtu akifanya sajari atajulikana tu iwe isiweMkuu sorry mfano rafiki yako akae na watu awasimulie mambo ya mkeo ya sajari ni vizuri ivo au asimulie michepuko yako si anaharibu image yako kwa familia yako na kwa jamii kwa maana kuna jamii inakuheshimu hasa viongozi wa dini maana michepuko ni zinaa.
Kummmk walai, shida ni unaanzaje kuwaangalia uliowadiss ukiwa mafichoni. Ubaya wa Diss za kizani ni huwa unafunguka full charge
Mwanaume unafikiria kulelewa Dr , fikiria vizuri hapoKwa jinsi huyu zeruzeru alivyolelewa na GSM ilitakiwa awe Chawa na Royal kwa GSM kuliko Mwijaku anavyojipendekeza.
Hata ningekuwa ni mimi nalelewa na Tajiri kama alivyolelewa Haji yani ukimsema vibaya tajiri tu kwanza utaanza kupambana na mimi, sasa ajabu Haji eti ndio anamsema tajiri haya ni maajabu.
Teknoloojia..😅
Hivyooo😳😳😳😳Matako ya wanaume ni dawa ya kuondowa husda kwa matajiri.