haiwezekani kila kukiwa na hali tata --- kuwe na kakiskendo --- maana leo mei mosi, huku padri wa tec kajeruhiwa , hapohapo balaa la lissu hili.Mkuu unakabia juu yaani unapress hadi hii umeitambua
Aya twendeni tutafika tu lkn tujue binadamu wote wanamatamanio tena hamna binadamu Yuko tayari kuwa chini ya mwingine kwa hiyo waliopojuu kamwa hawatakubali kushuku kizembe kila means watafanya kuhakikisha wanabakihaiwezekani kila kukiwa na hali tata --- kuwe na kakiskendo --- maana leo mei mosi, huku padri wa tec kajeruhiwa , hapohapo balaa la lissu hili.
mimi naona hii ni michezo
Matako ya wanaume ni dawa ya kuondowa husda kwa matajiri.Jamaa kahonga Dola elf20?, hapo itakuwa GSM kapiga miguu yote, kuna watu wanapenda matako aisee
Sidhani kama kumlipuwa mnafki ni usnitch, hayo matumizi ni mabaya ya sirabi.Kuna mwana alikuwa anamchora tu Manara hapo anavyo funguka, wabongo masnitch sana
Sure doctor.Sidhani kama kumlipuwa mnafki ni usnitch, hayo matumizi ni mabaya ya sirabi.
Whistle blower wanahitajika sana kukomesha unafki.
Alichokifanya manara ndio tabia ya watanzania wengi wapo very interested kuongelea watu kuliko marndeleo yao, umbea ndio tabia ya watanzania ,hata ukienda nje usithubutu kuzoeana na watanzania ni kama wachawi tu, hii haji manara mungu amemtoa iwe funzo kwa wambea na was3ngenyaji wengine, mwanaume unakaa na watu baada ya kujadili madili ya hela unamuwaza mwqnaume mwenzakoUnajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
View: https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Kwa jinsi huyu zeruzeru alivyolelewa na GSM ilitakiwa awe Chawa na Royal kwa GSM kuliko Mwijaku anavyojipendekeza.Lisemwalo lipo kama halipo laja. Huo msemo umetimia sasa. Nilikuwa mmojawapo wa wana JF wengi sana tuliwaonya hao GSM hapa jukwaani kuwa aina ya watu kama Haji sio wa kuwa nao karibu hata chembe wakati ule Haji anamtukana Mo mitandaoni kila siku Tuliwaambia kabisa kuwa wakati ule walikuwa wanafurahi MO kutukanwa itafika siku na wao yatawakuta. Na baadhi walienda mbali kuwaomba hao GSM wamkemee Manara aache kumtukana MO lakini wao walikaa kimya wakaona hayawahusu na Manara akaedelea kumtukana MO.
Anyway niwape pole tu GSM kwa yaliyowakuta lakini natumaini watampotezea tu huyo Manara kama Mo alivyompotezea. Naamini pia GSM watakuwa wamejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwenye kashfa ya Manara.
Kuna jamaa yangu mmoja anasemaga wazi wewe kama unaona jambo ni siri kaa nalo mwenyewe, ukimwambia yeye lazima aseme hasa hizi tabia za kusimanga watu watu, akija muhusika anamwambia yote, huyo jamaa anaogopwa mtaani yeye ni bahari hakai na uchafu.Alichokifanya manara ndio tabia ya watanzania wengi wapo very interested kuongelea watu kuliko marndeleo yao, umbea ndio tabia ya watanzania ,hata ukienda nje usithubutu kuzoeana na watanzania ni kama wachawi tu, hii haji manara mungu amemtoa iwe funzo kwa wambea na was3ngenyaji wengine, mwanaume unakaa na watu baada ya kujadili madili ya hela unamuwaza mwqnaume mwenzako
haiwezekani kila kukiwa na hali tata --- kuwe na kakiskendo --- maana leo mei mosi, huku padri wa tec kajeruhiwa , hapohapo balaa la lissu hili.
mimi naona hii ni michezo
Kasema GSM hawezi kutembea na ile takataka🤣 kiufupi Ghalib alimsaidia tu ila Salaa ndie alitoka na Uwoya hadi Uwoya akamchora tattoo mgongoni sijui shingoniJamaa kahonga Dola elf20?, hapo itakuwa GSM kapiga miguu yote, kuna watu wanapenda matako aisee
Acha utopolo wee, semaji ni mmoja tu anajulikana, Ahmed Ally. Hii utopolo nyingine itafute jina jingine.Kumbee!!!
Semaji lina laana ya marehemu, sa itakuwaje!?
Ukweli Maalim Seif hakuwa mtu wa visasi, mtakatifu yule. Ubaya wote aliofanyiwa na CCM alimwachia Mungu hakuwalaani hawa mafedhuli.Msichokijuwa hizi ni laana za Maalim Seif Sharrif Hamad zinamuandama.
Alikuwa anamtukana sana Mzee wa watu kwenye majukwaa ya ccm bila adabu kama mzazi wake.
Mkuu sorry mfano rafiki yako akae na watu awasimulie mambo ya mkeo ya sajari ni vizuri ivo au asimulie michepuko yako si anaharibu image yako kwa familia yako na kwa jamii kwa maana kuna jamii inakuheshimu hasa viongozi wa dini maana michepuko ni zinaa.Pia naona hajawasema vibaya wote, zaidi kawasifia kua ni wazuri sana japo wamefanya sajeri, aliyenangwa ni Alikiba, Ruby, Chino na huyo Uwoya wa kuitwa takataka🤣🤣🤣🙌🏻