Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

Na ataishia kuona wanawake wabaya wakati yeyw ndio mbayaa
 
Ila mkuu kama wewe sio Lokole basi ni shosti ake,unatupaga za ndaaaaaaani kabisa.
 
Manara ana miaka 50+ anajifanya kijana yupo sawa kiumri na kina platnumz!!

Nilichogundua mimi manara hakuwai lbda kumiliki madem wa kali enzi hizo kwahyo bado ana ule ushamba wa wanawake ndomna sasa anatumia nafas hii aliyonayo.

Jamaa hanaga aibu kabsa kwa umri wake ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…