Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Manara: Yanga wakijaza uwanja naacha kazi Simba

Hahaha leteni statistics za watu kwanza
Na mapato pia.
Hizo mtapata Mtani.
Balinya sibomana; wataweza kupenya kweli mbele ya kina shiboub, na fraga.

Kama Jana walikuwa wana luka luka.
😀😀😀😀 tutajua siku hiyo ikifika Mtani.
Sema lazima nikuchukulie kazawadi kauzi
😅😅😅 hiyo mpatie Dada yangu Shunie.
 
Afadhali umekuwa mkweli Mtani.
Ndio ndio
Tulikuwa makini sana na ma gap mtani

IMG_20190805_125701_756.JPG
 
Kinachonishangaza ni kuwa zeruzeru wenu aliwaambia mkaangalie mechi ya stars sasa kilichowawasha minduku kuangalia mechi ya yanga ni nini? Konyo zenu
 
Ivi kwanini kamati ya maandalizi ya match haituwekei idadi ya watu walio ingia kwa siku ya janana siku zingine ili tujiridhishe kwamba uwanja umejaa kweli sababu uwezo wa uwanja ni watu elf 60.

Je hiyo idadi ilifika kweli? Na katika match zote ambazo simba anajitapa kujaza uwanja pamoja na kwamba hadi walishusha kiingilio kikawa buku 2.Je,hiyo idadi ya watu elf 60 ilifikiwa?

Mbona watanzania bado tuko nyuma mambo ya kuoneshwa vipande vipande vya uwanja na camera za tv eti uwanja umejaa ni kutufanya watoto bali saizi mfumo inatakiwa ubadilike tuwekewe number of candidates tujiridhishe mbona uraya wanafanya ivo sisi tunafail wapi kwani mfumo wa ticket za kielectronic haujaanza kutumika?
Number of Candidates tena duuuh.....au ulitaka kusema Attendants..... Basi sawa
 
Tatizo shule kaka,na hawataki kuajiri wasomi ili wawasaidie. Wanaona umaarufu ndo kila kitu. Mwana FA shule ipo. Ana Msc ya finance au marketing kama sikosei. Kwanza Haji hakutakiwa kufanya lisherehe likubwaaaa.Tatizo showoff pia.
Unatoa perfume ya shiling laki moja kwa uchumi huu wa bongo anunue nani,wakat body spray yenyew inatosha haraf asaiv tunaipiga hata kwenye shati na inanukia siku nzima, Nakumbuka kipind wanatoa zile perfume nilikuwa najisemea what's wrong with this guy hawajifunzi tu....mchina anatoa body spray inaitwa Samsung SII na anauza vibaya mno kwa walala hoi kwanin usicheze na hao wa hari ya chini upate faida kwa haraka haraka tu...

Mfano mzuri hawa wahindi na waarabu wanaotuuzia maji,sijui energy drink za michanganyiko hata hatuijui basi kijana Hillary akaja kucheza nao na Hill water mbona wanacheza mziki wake asaiv ndio akili inayohitajika cheza nao huko huko waliko kwa akili nyingi
 
Wangejifunza hata kwa babu wa Loliondo kikombe shilingi miatano tu alipata wateja wa matabaka yote.Alijua jina Haji manara ndo litauza.Akijiona ana followers 1m Insta basi anajua sijui wote watanunua.Perfume laki moja imekuwa Chanel?
 
Watz bhana! Kujaza/kutojaza uwanja imekuwa nongwa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom