Unatoa perfume ya shiling laki moja kwa uchumi huu wa bongo anunue nani,wakat body spray yenyew inatosha haraf asaiv tunaipiga hata kwenye shati na inanukia siku nzima, Nakumbuka kipind wanatoa zile perfume nilikuwa najisemea what's wrong with this guy hawajifunzi tu....mchina anatoa body spray inaitwa Samsung SII na anauza vibaya mno kwa walala hoi kwanin usicheze na hao wa hari ya chini upate faida kwa haraka haraka tu...
Mfano mzuri hawa wahindi na waarabu wanaotuuzia maji,sijui energy drink za michanganyiko hata hatuijui basi kijana Hillary akaja kucheza nao na Hill water mbona wanacheza mziki wake asaiv ndio akili inayohitajika cheza nao huko huko waliko kwa akili nyingi