Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Na bado mkavunja mkataba kwasababu simba amekataa kuvaa logo gsm ila utopolo kwa kupika data na manara anajua kuwaingiza king.
Kwenye udhamini wa GSM.....yanga hausiki mkuu....
 
Aende wapi wakati yule ni MWANANCHI pure
 
analeta ukakauona kwenye biashara za watu, wakimbana utaskia "aaah ni utani wa jadi mazee sikumaanisha"
Utani wa jadi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujinga tu lini na wapi wamepata takwimu za timu zingine? Na pia ataje wameuza kiasi gani ili tuzidishe
 
Tutawezaje kuthibitisha kauli iliyotolewa na mtu club hiyo? Amejuaje mauzo ya club nyingine ikiwa ametoka huku kabla hata msimu haujaanza??


Mwambieni alete facts, porojo zake zimeshazoeleka.
Alitaka kuua hoja ya Simba kitawala media baada ya sare akaona aje na utumbo huu
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Wameonyesha Tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yeyote hapa bongo land a kuongoza kuuza kuliko timu yeyote hapa bongo
Inategemea na malengo makuu ya klabu husika ya soka. Nyingine lengo kuu linaweza kuwa ni kuuza jezi, nyingine inaweza kuwa na lengo kuu la kucheza mpira, nyingine inaweza kuwa kudai uhuru wa nchi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…