Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kwei jamaa ni proffesinal na ndio maana yuko hapo alipoYule ni proffesinal....so hawezi kuongea kitu hakipo sahihi
Ujinga tu lini na wapi wamepata takwimu za timu zingine? Na pia ataje wameuza kiasi gani ili tuzidisheWananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wameonyesha Tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yeyote hapa bongo land a kuongoza kuuza kuliko timu yeyote hapa bongo
Kumbuka msimu uliopita pamoja na wananchi kumaliza vibaya bila ubingwa ila ni timu iliyoingiza mashabiki wengi uwanjani kuliko timu nyingine so kwa vigezo hivi vianaifanya yanga kuwa ni timu yenye watu wengi wanajua nin maana ya soka ....kwa kushabikia....
Je nini maana ya kuuza jezi Mara tano zaidi ......? Mfano ni Maana yake ni kwenye list hii
Clabu tano zilizouza jezi zaidi
1. YANGA
2. YANGA
3.YANGA
4.YANGA
5. YANGA
6: Hapa ndipo zinaanzia timu nyingine mfano Coastal, Mbeya City, Mtibwa, Kagera na wengine
Source: yanga news Manara
View attachment 2126200
Alitaka kuua hoja ya Simba kitawala media baada ya sare akaona aje na utumbo huuTutawezaje kuthibitisha kauli iliyotolewa na mtu club hiyo? Amejuaje mauzo ya club nyingine ikiwa ametoka huku kabla hata msimu haujaanza??
Mwambieni alete facts, porojo zake zimeshazoeleka.
Inategemea na malengo makuu ya klabu husika ya soka. Nyingine lengo kuu linaweza kuwa ni kuuza jezi, nyingine inaweza kuwa na lengo kuu la kucheza mpira, nyingine inaweza kuwa kudai uhuru wa nchi n.kWananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Wameonyesha Tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yeyote hapa bongo land a kuongoza kuuza kuliko timu yeyote hapa bongo
Ataje hapo sio njoziTakwimu .... Znapatikana kwa maagent wanaiuza hizo bidhaa