Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
πππ. Yanga hamnazoHizi ni feedback tu mkuu .......sio propaganda
Yani unatuletea hapa porojo za Manara na unataka kabisa tukuone upo seroiusπWananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wameonyesha Tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yeyote hapa bongo land a kuongoza kuuza kuliko timu yeyote hapa bongo
Kumbuka msimu uliopita pamoja na wananchi kumaliza vibaya bila ubingwa ila ni timu iliyoingiza mashabiki wengi uwanjani kuliko timu nyingine so kwa vigezo hivi vianaifanya yanga kuwa ni timu yenye watu wengi wanajua nin maana ya soka ....kwa kushabikia....
Je nini maana ya kuuza jezi Mara tano zaidi ......? Mfano ni Maana yake ni kwenye list hii
Clabu tano zilizouza jezi zaidi
1. YANGA
2. YANGA
3.YANGA
4.YANGA
5. YANGA
6: Hapa ndipo zinaanzia timu nyingine mfano Coastal, Mbeya City, Mtibwa, Kagera na wengine
Source: yanga news Manara
View attachment 2126200
...Mifugo Fc mnashida sana..Mijezi ya Makolo ni ngumu kununulika,iko kama ya waganga wa kienyeji
Lakini si haba, kila jezi anayouza GSM walau klabu tunapata sh. 1,300/=Kwa akili yangu ndogo najua GSM ndo wameuza jezi na sio YANGA
Mmmh haitasaidia , huo ni ujinga tu anaofanya.Alitaka kuua hoja ya Simba kitawala media baada ya sare akaona aje na utumbo huu
Lengo la kucheza ....mpira ndilo linaifanya timu iuze Sana jezInategemea na malengo makuu ya klabu husika ya soka. Nyingine lengo kuu linaweza kuwa ni kuuza jezi, nyingine inaweza kuwa na lengo kuu la kucheza mpira, nyingine inaweza kuwa kudai uhuru wa nchi n.k
Nyie mliishi nae vip....hadi aliwabebea vikombe vya liguHuyu msukule rudidheni kaburini anatosha watu.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Acha makasiriko mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]. Yanga hamnazo
View attachment 2126358
mwambieni aitishe press azungumzie na hiiLengo la kucheza ....mpira ndilo linaifanya timu iuze Sana jez