Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Hizi ni feedback tu mkuu .......sio propaganda
😂😂😂. Yanga hamnazo
images (19).jpeg
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Wameonyesha Tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yeyote hapa bongo land a kuongoza kuuza kuliko timu yeyote hapa bongo

Kumbuka msimu uliopita pamoja na wananchi kumaliza vibaya bila ubingwa ila ni timu iliyoingiza mashabiki wengi uwanjani kuliko timu nyingine so kwa vigezo hivi vianaifanya yanga kuwa ni timu yenye watu wengi wanajua nin maana ya soka ....kwa kushabikia....

Je nini maana ya kuuza jezi Mara tano zaidi ......? Mfano ni Maana yake ni kwenye list hii

Clabu tano zilizouza jezi zaidi

1. YANGA

2. YANGA

3.YANGA

4.YANGA

5. YANGA

6: Hapa ndipo zinaanzia timu nyingine mfano Coastal, Mbeya City, Mtibwa, Kagera na wengine


Source: yanga news Manara

View attachment 2126200
Yani unatuletea hapa porojo za Manara na unataka kabisa tukuone upo seroius😂
 
Inategemea na malengo makuu ya klabu husika ya soka. Nyingine lengo kuu linaweza kuwa ni kuuza jezi, nyingine inaweza kuwa na lengo kuu la kucheza mpira, nyingine inaweza kuwa kudai uhuru wa nchi n.k
Lengo la kucheza ....mpira ndilo linaifanya timu iuze Sana jez
 
Yani unatuletea hapa porojo za Manara na unataka kabisa tukuone upo seroius[emoji23]
Mkuu Koo unataka porojo za try again....aliyesema anataka kumnunua ....adebayor
 
Back
Top Bottom