The problem is mmeajiri kocha msanii ameshindwa kuwaunganisha wachezaji Kucheza kitimu. Kila mchezaji anaonesha kipaji chake. In short no combination!wadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3
daah natamani tukutane na MANYURE mapema; point tatu ziko wasi kabisaa;wadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3
Kwamkweli hali nimbaya kupita maelezo ule cyo mpira kbs yaan kheri ya van gaal mpira unaonekana lkn mnakosa matokeo ila kwa hz mechi mbili kwa hii performance cjui labda kuna mshirika katoa point naona km ina mashiko pogba apande juu chini awe anaanza carick au schnedelin la cvyo,so sad aiseeewadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3
nimeanza kumkumbuka hadi LVG mpira tulikuwa tunacheza na combination ilikuwepo sema forwads hatukuwepoKwamkweli hali nimbaya kupita maelezo ule cyo mpira kbs yaan kheri ya van gaal mpira unaonekana lkn mnakosa matokeo ila kwa hz mechi mbili kwa hii performance cjui labda kuna mshirika katoa point naona km ina mashiko pogba apande juu chini awe anaanza carick au schnedelin la cvyo,so sad aiseee
Mkuu sasa hayo matusi,kina kaoge mvuto au kaoge yupi? Nikikukamatalazima uchezee [emoji109]SIMPLY "not organized" watu wanacheza kama kina "kaoge" 11 wako uwanjani wamevaa jezi nyekundu
Madhara ya kuwa fanatic angalia usijekuwa lunatic.mtaani sina raha kabisaa nazomewa kila muda kwasababu ya timu yangu kuwa failure