Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Pale mbele wanatakiwa waanze cadabra,rooney na Pogba alafu katikati herera, carick na yule wa dotmund
 
wadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3
Kwamkweli hali nimbaya kupita maelezo ule cyo mpira kbs yaan kheri ya van gaal mpira unaonekana lkn mnakosa matokeo ila kwa hz mechi mbili kwa hii performance cjui labda kuna mshirika katoa point naona km ina mashiko pogba apande juu chini awe anaanza carick au schnedelin la cvyo,so sad aiseee
 
ET KAMA POGBA INGEKUWA NI BIA

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1474205901554.jpg

PIGAAAAAAAAAAAAAA
MBWAAAAAAAAAAAAA
 
Kwamkweli hali nimbaya kupita maelezo ule cyo mpira kbs yaan kheri ya van gaal mpira unaonekana lkn mnakosa matokeo ila kwa hz mechi mbili kwa hii performance cjui labda kuna mshirika katoa point naona km ina mashiko pogba apande juu chini awe anaanza carick au schnedelin la cvyo,so sad aiseee
nimeanza kumkumbuka hadi LVG mpira tulikuwa tunacheza na combination ilikuwepo sema forwads hatukuwepo
 
Back
Top Bottom