Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Umepaniq, huyo pogoba hastahili KABSAA HIYO PESA PERIOD!
 
Umepaniq, huyo pogoba hastahili KABSAA HIYO PESA PERIOD!


utoto kazi umeishia hivyooo yaani mimi nipanik ni mkurugenz wa manchester united niliyeidhinisha hiyo pesa jibu ni hapana nimekwambia ukizungumzia hasara upande wa manchester haipo kama ulivyoandika kutapeliwa ila kimpira kuna shida tatizo mnazongwa na ushabiki utaishia kutoa majibu hayo mana huna analysis zake upande wa finacial pole dogo.
 
Tatizo liko katika upangaji wa kikosi....pogba sio no 6 ni 8 lakini analazimishwa kucheza 6 mtafungwa sana! Pale lazima mpate au mumuanzishe schnedilin au carick katikati mbele yao acheze pogba kwa uhuru
Kwani pogba anacheza 6??
 
ngoja nikuuupuzee, endeleeni na mauzo ya jezi!
 
watu mnachonga sana hadi mnaniuzi kama hauna cha kuchangia sepeni
 
ila nawe mtu kuna muda unaongea mambo positive kabisaa kama hili nakuunga mkono kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…