Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Ruud van Nistelrooy huko aliko anacheka mpaka mbavu zinamuuma.
1732473382484.jpg
 
Kipara mlikuwa mnamuonea tuu, mna wahuni na sio wachezaji, em angalieni wachezaji waliopo Chelsea n mara buku ya wale wehu wenu 😎
 
Positively, at least unaona watu uwanjani wanajaribu kukimbilia kitu gani. Ni uhakika Ten hag mechi hii angefungwa vizuri sana, Hawa watoto muda mwingi wapo juu na sisi Bado ujasiri huo wa kukaa na mpira Kwa muda tukiwa juu Bado kidogo, unamuona babu Evans ukimrudishia pasi ujasiri unaondoka, nilichofurahi Hawa watoto tumegongana nao sana physically, bila kuminyana nao Hawa wanakufunga kweupe. Kuna moment unaona timu inatafuta Nini halafu ghafla tunajisahau na kurudia Uten hag bacteria. Naamini baada ya mechi kumi Kuna vitu vingi vipya vitajitokeza. Msimu ujao tunaweza kuwa na timu inayotazamika vizuri. Lazima tujenge base, kitu ambacho hata na timu ndogo mechi lazima tukamiane, intensity iliongezeka kidogo na hii ni kitu cha kujivunia, lazima tuwe very aggressive na hichi ndicho kocha na UTD fans tunakitaka na lazima itakuwa hivyo.
 
Owen Hargreaves on Ruben Amorim:

"He was in front of me, and he was really frustrated, I'm not going to lie.

"He wasn't happy with Dalot's positioning in the first half. Zirkzee's positioning in the second half made him a bit frustrated as well."

"Many of these players won't be playing in three, four, or five weeks time."
 
Hua nashangaa sana hizi timu. Naona wanaugua ugonjwa wa akili..timu yako ina pointi 9 eti unakutana na man utd unaikazia ndo unajifanya kucheza kwa speed na patern ..naona hii ni kuoshea tu hawana uwezo wowote, wangekua wanacheza hivi wangekua huko top 3 wanagmbania top 3 na akina liverpool..
Tukirud kwa man utd timu nzima inatakiwa kufukuzwa ama aachwe Diallo tu. ..fukuza takaktaka zote.
Team yako ikiwa mbovu kila opponent utasema wanakukazia
 
Back
Top Bottom