Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 944
- 1,682
Nyumbu akicheza mashabiki wake duniani kote wanagaragara chini kama nyumbu aliyechomwa mkuki wa shingo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 30 za nyongeza mtaongeza magoli mengineKikosi cha Bwenyenye Sir Jim barobaro boys wanashuka leo hawa hapa twende nalo 💪
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
My prediction
Ipswich Town 1 vs Manchester United 4
watapigwa sana hawa wakora.
View attachment 3160499
Unakumbuka panga lililopita msimbazi?Hadi Antony?
Wewe upumbavu ni kipaji chakoNiliwaambia mtafute kipa wa kueleweka la sivyo mtataabika mpaka ujio wa Yesu.
Ali wanunua yeye tena kwa pesa mingiKipara mlikuwa mnamuonea tuu, mna wahuni na sio wachezaji, em angalieni wachezaji waliopo Chelsea n mara buku ya wale wehu wenu 😎
Team yako ikiwa mbovu kila opponent utasema wanakukaziaHua nashangaa sana hizi timu. Naona wanaugua ugonjwa wa akili..timu yako ina pointi 9 eti unakutana na man utd unaikazia ndo unajifanya kucheza kwa speed na patern ..naona hii ni kuoshea tu hawana uwezo wowote, wangekua wanacheza hivi wangekua huko top 3 wanagmbania top 3 na akina liverpool..
Tukirud kwa man utd timu nzima inatakiwa kufukuzwa ama aachwe Diallo tu. ..fukuza takaktaka zote.
😂 ila nyumbu akili zenu bhana!Leo dunia inaenda kushuhudia Amorim Ball