Positively, at least unaona watu uwanjani wanajaribu kukimbilia kitu gani. Ni uhakika Ten hag mechi hii angefungwa vizuri sana, Hawa watoto muda mwingi wapo juu na sisi Bado ujasiri huo wa kukaa na mpira Kwa muda tukiwa juu Bado kidogo, unamuona babu Evans ukimrudishia pasi ujasiri unaondoka, nilichofurahi Hawa watoto tumegongana nao sana physically, bila kuminyana nao Hawa wanakufunga kweupe. Kuna moment unaona timu inatafuta Nini halafu ghafla tunajisahau na kurudia Uten hag bacteria. Naamini baada ya mechi kumi Kuna vitu vingi vipya vitajitokeza. Msimu ujao tunaweza kuwa na timu inayotazamika vizuri. Lazima tujenge base, kitu ambacho hata na timu ndogo mechi lazima tukamiane, intensity iliongezeka kidogo na hii ni kitu cha kujivunia, lazima tuwe very aggressive na hichi ndicho kocha na UTD fans tunakitaka na lazima itakuwa hivyo.