I feel your pain bro 😂Hua nashangaa sana hizi timu. Naona wanaugua ugonjwa wa akili..timu yako ina pointi 9 eti unakutana na man utd unaikazia ndo unajifanya kucheza kwa speed na patern ..naona hii ni kuoshea tu hawana uwezo wowote, wangekua wanacheza hivi wangekua huko top 3 wanagmbania top 3 na akina liverpool..
Tukirud kwa man utd timu nzima inatakiwa kufukuzwa ama aachwe Diallo tu. ..fukuza takaktaka zote.
Kila mpinzani safari hii mtawaona Bora kwasababu ya ubovu wa team yenu,hiyo team ikikutana na Chelsea,Arsenal na Liverpool tena utaona inafungwa vizuri tuHawa Ipswich walimfunga spurs kwake....msichukulie poa
Watapigwa kama ngoma.Meaka wa 10 mna wachezaji wengi wale wale mna taka kubadilika kweli ? Ona madrid,Chelsea, arsenal zinavyo badili watu ..mtu una Evans hadi leo 😅😅rashford ,eriksen dadeki