Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Sijacheki game, ila ninachoweza kusema kwa Sasa ni SUPERMAN THE RETURN

MAN U IMERUDI RASMI SASA

Tumeanza upya sasa
 
Run! Run! Run, hichi kitu ndiyo kitawastaafisha baadhi ya man UTD players... Kwa mechi hizi mbili nimeona fitness yetu siyo ya kuridhisha kabisa, ndio maana karibu nusu ya timu baadae lazima iende benchi. Kitu kingine ambacho ni pasua kichwa ni midfield, Kwa jinsi ilivyo Hawa watu wawili wanahitajika kukimbia sanaaa, mkimbiaji natural ni mmoja tu ambaye ni ugarte, ugarte ambaye anaanza kurudi taratibu. Lazima tuongeze runners kweli kweli hapo katikati na fitness yetu iwe ya kiwango cha juu kabisa ya kuweza kucope na mikimbio yetu.

Taratibu utaona Kuna wachezaji wataomba kuondoka wenyewe au timu itawauza maana hawatofit kwenye system, hivyo unajiengua mwenyewe. Unaona Kuna magepu Fulani huwa tunayaacha sana, hivyo Kwa kuwa tupo kwenye mchakato naamini tutayaziba. Tuna mitihani miwili, inabidi tushinde na huku tunajenga timu, lazima viende sambamba, hivyo lazima Kuna moment za kutokucheza vizuri lakini tunashinda, at least some pattern unaziona.
 
Hojlund kakiri mfumo kaupenda na hope unamfaa sana
GGMU
 
FB_IMG_1732998590936.jpg
 
Back
Top Bottom