King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Mkuu kumbuka sie Bado tunajenga timu huku tunatufa ushindi taratibu, lakini arsenal wao wametuzidi ubora.Watakula 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbuka sie Bado tunajenga timu huku tunatufa ushindi taratibu, lakini arsenal wao wametuzidi ubora.Watakula 5.
😂Sancho kafunga?
Kuna wachenzi walitaka kuvuta hela kwa Amad..
Wachenzi kabisa.
MOT kwa upande wangu
Ten hag alikua muoga sana.Omar forson alikuwa mbele ya Amad.
Kipara alikuwa na matatizo.
Kuna uoga na ujinga, forson hakuwa na kipaji kumzidi amadTen hag alikua muoga sana.
mkuu acheni kumchafua mzee kipara kiasi icho tulimlaza the blues goal hapo OT mwaka janaMara ya mwisho Man Utd kushinda 4-0 kocha alikuwa Ole Gunnar Solskjaer🤣
Mkuu respect kwa mzee kipara two trophy arteta kakaa hapo arsenal izo kombe ajabeba.Ten Hag maku kweli. Amad bonge la team player, mngese kama Garnacho akifika golini ni kujipigia tu hata kama kuna teammate yupo nafasi nzuri ya kufunga hatoi pasi.
Fvck you, Erik ten Hag.
Yule mbwa tu kmmakeh..akafie mbele na antony wake.Ten Hag maku kweli. Amad bonge la team player, mngese kama Garnacho akifika golini ni kujipigia tu hata kama kuna teammate yupo nafasi nzuri ya kufunga hatoi pasi.
Fvck you, Erik ten Hag.
Tutoe hata drooMkuu kumbuka sie Bado tunajenga timu huku tunatufa ushindi taratibu, lakini arsenal wao wametuzidi ubora.
4-0?mkuu acheni kumchafua mzee kipara kiasi icho tulimlaza the blues goal hapo OT mwaka jana
WhyLisandro Martinez and Kobbie Mainoo will be suspended for the game against Arsenal.
Hapa tutapigika timu ilimhitaji Martnez na Kobie .... Tutateseka SanaLisandro Martinez and Kobbie Mainoo will be suspended for the game against Arsenal.