Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
🚮🚮🚮[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu Harmorapa hana muda mrefu ataanza kuikumbuka timu yake ya Sporting Clube de Portugal, hii Man Utd yetu ni kama roba la misumari kila ukijitahidi kulibeba vizuri na lenyewe ndio linazidi kukutoboa.
Ndani ya muda mfupi tu Ruud van Nistelrooy alikua ameshaanza kutengeneza chemistry ya timu na kila mechi tulikua tunapata matokeo ya kuridhisha, vile uongozi wa timu haupendi kuona mashabiki tukiwa na furaha ya kudumu badala ya kumpa Nistelrooy muda mpaka dirisha dogo, tumemtimua na kulazimisha kumleta Amorim ambae aliomba apewe muda mpaka mwisho wa msimu ndio aje Utd.
Jamaa una mihemko tu.Kocha la ball huyu hapa anaenda zake Leicester City kukabidhiwa mikoba ya Steve Cooper.
"Jiwe walilolikataa waashi Linaenda kuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu."
View attachment 3164057
🚮🚮Endeleeni kujidanganya, ulishaona wapi kocha mhindi.
Iv huwa unasikilza press conferess? Au una bwatuka tu?Sijajua kwa nini hii mikocha ya Man U inakuwa na kiburi kiasi hiki. Ubora wa Hujlund hasa mechi ya mwisho ni wa kumuanzishia benchi? Jinga kabisa nalo hili najua limekuja na litaondoka kabla ya Mwaka mpya..
5 yellow cards
Mimi sio mjinga kama wewe Under-coverIv huwa unasikilza press conferess? Au una bwatuka tu?
Unaweza kuwa mjinga pia bila wewe kujua.Mimi sio mjinga kama wewe Under-cover