Bora tapeli ETH alikuwa anabahatisha anaokota points ,akifika kwenye Carabao au FA cup alikuwa anaweka mziki wote
Huyo Tapeli Mourine ,analeta mambo ya Style of play, 3-4-3, double pivot, inverted winger kwa wachezaji Hawa kina Anthony Santos makudubela,Mauno ,Dibra Fernandez, Zaka zakazi Joshua mutale ,
Atachezea vipigo sana tu
Manjesta inatakiwa icheze ovyo ovyo ,papatupapatu ,imepigwa ndefu na Dibra Fernandez,Rashidi makame goal ,mechi imeisha