Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Tatu kavu. Watu hawana huruma halafu kaliwa geto kwake
 

Attachments

  • Screenshot_20241106_160101_Instagram.jpg
    Screenshot_20241106_160101_Instagram.jpg
    45.2 KB · Views: 2
Huyu kocha wenu mjuaji sana ,halafu hajui hii EPL ,msingi physicality

Unamtoa Tinga Tinga Ugate ,unaacha pale kati

Mauno na Dibra Fernandez,hiyo kombo ni laini kama chapati za maji

Na hapo ndipo Iraiola akaongeza mtu mmoja anaitwa COOK ,

NYUMBU O B.MOUTH 3
 
Bora tapeli ETH alikuwa anabahatisha anaokota points ,akifika kwenye Carabao au FA cup alikuwa anaweka mziki wote

Huyo Tapeli Mourine ,analeta mambo ya Style of play, 3-4-3, double pivot, inverted winger kwa wachezaji Hawa kina Anthony Santos makudubela,Mauno ,Dibra Fernandez, Zaka zakazi Joshua mutale ,

Atachezea vipigo sana tu

Manjesta inatakiwa icheze ovyo ovyo ,papatupapatu ,imepigwa ndefu na Dibra Fernandez,Rashidi makame goal ,mechi imeisha
 
Nimepata taarifa hapa , wachezaji wa Manjesta wanakuja kwa Tapeli Bushiri kuombewa
 
Back
Top Bottom