Nilishasema kitambo tu kuwa, Kwa jinsi hii system ilivyo taratibu utaona wachezaji wataanza kujiengua. ETH system ilikuwa inawapumzisha sana. Sasa huko uingereza UTD fans wanalalamika tu kuwa the players aren't good enough, zile chanting za ku praise baadhi ya wachezaji hazipo tena. Magoli timu inayofungwa ni ya wachezaji wenyewe, kocha anakupa njia tu, mtekelezaji ni mchezaji. Management iliiua hii timu Kwa kuleta watu wa standards za chini kabisa pamoja na wastaafu, hebu niambie casemiro na eriksen Hawa unataka watoe Nini tena cha ziada, maini Yao au?...wapo watu wanaosema abadilishe system, hakuna kitu kama hicho maana ndo itakuwa kosa kubwa. Timu lazima iwe na wachezaji wanaweza kuadapt, ni wachezaji ndo hamna kitu hahaha Kocha nadhani anafikiria tu hapa hamna wachezaji hahah, taratibu timu itarudi but si Kwa haraka hivyo.