Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Asante sana cheka2 man nyumbu utd
Hakika kazi yenu ni njema
 

Attachments

  • IMG-20241231-WA0008.jpg
    IMG-20241231-WA0008.jpg
    28.4 KB · Views: 6
Mwisho wa Msimu mambo yatakuwa kama hivi,

1. Liverpool atakuwa ameshafikisha mapoint kibao(Bingwa tayari)

2. Arsenal atakuwa kwenye vita kali ya kupambania nafasi yake ya Tatu hapa ndo msemo wa linda ulichonacho utaanza kazi.....Tumaini la ubingwa litapotea kabisa

3. Nottingham atakuwa kila mechi anacheza jihad ili tu kusalia nafasi ya pili

4. Chelsea,Tottenham,aston vila, man city na takataka nyingine zote hao watakuwa kwenye vita kali sana watarogana, Kupigana mabuti, fukuza fukuza ya makocha itashamiri mwisho wa msimu hii yote itasababishwa na kugombania tonge la Nne(Nafasi ya nne)

5. Man utd itakuwa kwenye vita kali na wakina ipswich na Leicester wanagombana wasishuke daraja,

Yani hapo Mbungi litapigwa Man utd atahonga hata VAR zisiletwe uwanjani... ili tu abakishwe Epl asiende mchangani. Kwa dokezo tu kipindi hiki Gabachori wenu Amorim atakuwa anapangiwa kikosi na yule kocha wenu Van ndame.
 
Nilishasema kitambo tu kuwa, Kwa jinsi hii system ilivyo taratibu utaona wachezaji wataanza kujiengua. ETH system ilikuwa inawapumzisha sana. Sasa huko uingereza UTD fans wanalalamika tu kuwa the players aren't good enough, zile chanting za ku praise baadhi ya wachezaji hazipo tena. Magoli timu inayofungwa ni ya wachezaji wenyewe, kocha anakupa njia tu, mtekelezaji ni mchezaji. Management iliiua hii timu Kwa kuleta watu wa standards za chini kabisa pamoja na wastaafu, hebu niambie casemiro na eriksen Hawa unataka watoe Nini tena cha ziada, maini Yao au?...wapo watu wanaosema abadilishe system, hakuna kitu kama hicho maana ndo itakuwa kosa kubwa. Timu lazima iwe na wachezaji wanaweza kuadapt, ni wachezaji ndo hamna kitu hahaha Kocha nadhani anafikiria tu hapa hamna wachezaji hahah, taratibu timu itarudi but si Kwa haraka hivyo.
 
Mamamaeee naye Chelsea huko chali.

Vidude viwili kama sisi tu. Na bora sisi tumepigwa na mkubwa mwenzetu, Chelsea kapigwa na Ken Gold ya uingereza.
Leo newcastle wamekuwa wakubwa wenzenu ? Ama kweli zama zimebadilika,

Kaka kwa sasa fuatilia tu wakina Mukwala hao ndo watakaokupa Furaha.

Uvumilivu ukikushinda karibu Liverpool huku pasi Chache goli mingi.
 
Back
Top Bottom