Namba 5 umenifanya nicheke kwa nguvu alafu ni usiku eti 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wachezaji ni wazembe lakini pia huyu kocha anacheza sana kamari kwenye upangaji wa kikosi.

Ndio anatafuta wachezaji wanaofaa ila wasiwasi wangu hii ni EPL, asije akajikuta ameshuka daraja.
 
Mkija kushtuka mtakua mmechelewa sana
 
Timu hii ikifungwa na kuicheka mnapata dhambi, ni kama vile kumcheka mgumba kupitisha mwaka mwingine bila mtoto, ni dhambi.

Na nyie man u achaneni na hao matapeli, kina HAKIKA REUBEN, njoonj mumchukue anko JUMA MGUNDA nawahakikishia mtacheza conference league πŸ€£πŸ˜‚..
Jaribuni kina pacome, kapombe, abdulrazaq hamza, fei toto, max nzengeli watawasaidia saana.
 
Unaambiwa jana Joshua anatolewa dakika ya 33 mashabiki wanashangilia wengine wanamzomea Joshua.

Shida siyo hii. Shida ni hawahawa ndiyo walishangilia na walio mitandaoni wakampamba. Tunarudi palepale aliposema Pogba "Mashabiki wa Nyumbu hawajui mpira"
 
Nilisoma kumbe ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…