Netflix club mlichobarikiwa ni kamdomo tu.
Mwisho wa ligi kocha wenu arteta anamwaga machozi tu kwenye kamera.Punda nyinyi
Unaiongelea timu inayoshika nafasi ya piliNetflix club mlichobarikiwa ni kamdomo tu.
Kocha pekee aliyewahi kulia duniani ni Ole na Jamhuri Kihwelo JulioMwisho wa ligi kocha wenu arteta anamwaga machozi tu kwenye kamera.
Tuachane na UEFA ambayo Nottingham forest anakuzidi, vip mara ya mwisho Netflix (arsenal) amabeba ligi ye EPL ilikua lini, kumbe rodri hakukosea huenda hata kuwa wa pili kweye ligi ni mafanikio yenu makubwa.Unaiongelea timu inayoshika nafasi ya pili
Antony alikua kaja kuwapa kombe lenu la ligi jingine tangu Alex aondoke?Tuachane na UEFA ambayo Nottingham forest anakuzidi, vip mara ya mwisho Netflix (arsenal) amabeba ligi ye EPL ilikua lini, kumbe rodri hakukosea huenda hata kuwa wa pili kweye ligi ni mafanikio yenu makubwa.
Man inatakiwa ianze moja, mpaka onana ni wa kuondoaHatimaye tumeanza operation ondoa deadwood players.
Bado Rashford na Shaw.
One of the biggest heist in football history 🤣...nasikia yule bwana tapeli alikuwa na mgao wake hapa ...acc to bwana hamis
Kampuni iliyofanya udalali wa deals nyingi mwanae anahusikaOne of the biggest heist in football history 🤣...nasikia yule bwana tapeli alikuwa na mgao wake hapa ...acc to bwana hamis