Hivi tunashindwa kupata wachezaji kama Nwaneri au Marmoush kweli? Kwenye flanks unamtegemea Gara ambaye akipotezea mali anazurura..hii timu ishakua futuhi sasa
 
Huyu Ruben alipaswa akute timu yenye muendelezo wa project na si kuanza mi naamini tunamchosha tu
 
Hivi tunashindwa kupata wachezaji kama Nwaneri au Marmoush kweli? Kwenye flanks unamtegemea Gara ambaye akipotezea mali anazurura..hii timu ishakua futuhi sasa
Unadhani kupata mchezaji kama Nwaneri ni sawa na kunnua andazi sio

Boresheni academy yenu kwanza, tumewauzia magarasa mkaanza kuvimba kifua

kwani Amadi hakucheza juzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…