mnaonaje wazo la kumrudisha tena mtaalamu David Moyes ili aokoe jahazi lililotoboka
 
mnaonaje wazo la kumrudisha tena mtaalamu David Moyes ili aokoe jahazi lililotoboka
Hii United hata haijulikani shida nini!
Imagine wachezaji wa everton wanavyokimbia uwanja mzima kuwazuia liverpool, ila united hatuwezi hata kukaa na mpira daki 2 tu!
 
Nataman hii timu ishuke daraja kumamakeh.

Namuangalia huyu mmisri anavokiwasha man city hapa, hivi hata skaut wa hii timu mbovu ya man utd walishindwa hata kumjua ama kumuona huyu mchezaji

Wanakumbatia mashoga akina rash ford na wapuuzi wengine ...ila mwaka huu lazima akili zikae sawa
 
Hii United hata haijulikani shida nini!
Imagine wachezaji wa everton wanavyokimbia uwanja mzima kuwazuia liverpool, ila united hatuwezi hata kukaa na mpira daki 2 tu!
Hukumbuki mechi ya mwisho liva na man u ilikuwa kidogo tu jogoo anyonyolewe. Man u hawajitumi kila mechi, hawana malengo ambayo wanayapambania, ni wanakamia mechi mojamoja tu.
 
Hata angekuja marmush wa city angekuja kuwa takataka tu. Ronaldo alisema shida siyo samaki shida ni aquarium.
 
BREAKING: Amad could miss the rest of the season with ankle ligament damage suffered in training. He's still being assessed but faces a lengthy layoff. [@ChrisWheelerDM] #mufc
 
BREAKING: Amad could miss the rest of the season with ankle ligament damage suffered in training. He's still being assessed but faces a lengthy layoff. [@ChrisWheelerDM] #mufc
Siyo poa. Dogo anakipaji.
 
Timu imelaniwa aisee ndo basi tenaa mpaka amad dah. Ndo basi Tena msimu ushaisha tunashuka daraja
 
Mchambuzi nguli, na mwanazuoni wa Soka la ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mwenye beji ya fifa ,mwenye leseni ya ukocha grade B kutoka pale karume

Natoa tamko Amorini ni tapeli na hatawafikisha popote , ni kocha asiyeweza kubadilika ,ni kocha aliyekariri mfumo mmoja tu 3-4-3

Hawezi kutoka nje ya hapo ,

Nilisema ETH ni tapeli ,ila Amorini ni Tapeli kipeuo cha pili

Takwimu zinaongea
 
Manjesta kama wanataka kurejea angalau wagonbee hata kucheza Europa league ilitakiwa wamuachie timu RvN

Au wangempa timu Kieran Mackena

Sisi wachambuzi nguli ,tunuona RvN na Kieran Mackena Wana uwezo mzuri kuliko tapeli Amorini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…