[emoji20][emoji20][emoji20]Inasikitisha sana aiseee
Ila kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza alkasusu, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi? Kikombe kimoja cha alkasusu kinauzwa buku, haya ukiuza chupa zako 5 kwa siku utashindwa kujenga?
 
Mchambuzi nguli nilisema AMORINI ni tapeli pro max ,yaani huyu Bora ETH

Kwanza ni muoga kama kunguru ,

Kafanya sub zimebaki dakika 3

Kingine amekariri 3-4-3 ,hawezi kubadilika hapo ,

Mwenzie tapeli ETH alikuwa anabadilika ,anajilipua kuwapa nafasi madogo

Huyu Amorini atawashusha daraja


Mechi 14

Points 14
 
Wolves point 19 position 17
Man U point 29 position 15

Gap kubwa sana, Wolves ashinde game 4 sisi zote tupoteze ndiyo atatuzidi
 
CR7 aliwashauri nini kifanyike mkamuona mpayukaji. Safari hii mtamchukua hadi Juma Mgunda.
 
Na city ndio alieizamisha hii timu huko championship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…