Manchester United (Red Devils) | Special Thread
[emoji20][emoji20][emoji20]Inasikitisha sana aiseee
Ila kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza alkasusu, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi? Kikombe kimoja cha alkasusu kinauzwa buku, haya ukiuza chupa zako 5 kwa siku utashindwa kujenga?
 
Mchambuzi nguli nilisema AMORINI ni tapeli pro max ,yaani huyu Bora ETH

Kwanza ni muoga kama kunguru ,

Kafanya sub zimebaki dakika 3

Kingine amekariri 3-4-3 ,hawezi kubadilika hapo ,

Mwenzie tapeli ETH alikuwa anabadilika ,anajilipua kuwapa nafasi madogo

Huyu Amorini atawashusha daraja


Mechi 14

Points 14
 
CR7 aliwashauri nini kifanyike mkamuona mpayukaji. Safari hii mtamchukua hadi Juma Mgunda.
 
Me nipo na Goat Antony Motm ya tatu mfululizo
antonys-motm-performance-against-real-sociedad-by-the-v0-j4zzc5o6tkje1.jpeg
 
Man Un ited - The Red Devils ilishuka daraja msimu wa 1973-74 walipomaliza katika nafasi ya 21, wakiwa na pointi 32 pekee kwenye jina lao.
Je msimu huu ndio unajirudia kushuka daraja kwa point 32 au chini ya hapo
Bado kuna mechi 13 za kupambana
Pambaneni bwana mtazihaibisha timu za top 10
Na city ndio alieizamisha hii timu huko championship
 
Back
Top Bottom