Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Haya mkuu mzee wa Arsenal...ligi itakuwa nzuri MAN U akipoteza mechi nyingine na Chelsea na Liverpool wasipoteze!
Exactly, matokeo ya jana nimeyafurahia kwa kuwa yana i keep league exciting, kama mngeshinda jana kungekuwa na uwezekano mkubwa ndo mngekuwa mshashinda ubingwa hivyo.
Hahahahaha..sema mhuni mwenzangu?Nilikua napitia tu barazani mwenu.
Naona mumetulia tu mnalamba vidonda!....kulikuaje jana?
..Yaani nacheka tu hapa kwenye PC yangu nikiwaza ushujaa wenu(Roya Roy,Icadon et al)....mpo?
...a dog leaves to fight another day!
Dakika ndio hizo zimeisha Fulham 2 Man Utd 0!
Washaniboa hawa ngoja niende park kuvizia totoz tuu sasa. Ningejua inakuwa hivi nisingejisumbua kulipia annual membership fee...!!
Liverpool hatoshinda kesho, Chelsea ndio hivyo bado dakika chache, ngoja nibinye ..........!!
...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?ulitabiri lini ukawa sahihi? ... asiyekubali ukweli...
magoli siyo issue ila hizi kadi nyekundu!?... anyway, kuna siku nzuri na siku mbaya pia.
...
Liverpool hatoshinda kesho, Chelsea ndio hivyo bado dakika chache, ngoja nibinye ..........!!
Chelsea nao wamepigwa. Sasa ni Arsenal na Newcastle. Halafu matokeo ya jumamosi hii timu vibonde ndu=io zimeshinda! Liver nao watapigwa tu kesho.
Wamefanya makosa Chelsea, kwa nini isiwe liverpool? Watachapwa tu na wao- ngoma iwe droooo...poleni wakuu, Liverpool hatofanya makosa hayo kesho,...! presha presha, preeeeeeesha!....🙂