Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Haya mkuu mzee wa Arsenal...ligi itakuwa nzuri MAN U akipoteza mechi nyingine na Chelsea na Liverpool wasipoteze!

Exactly, matokeo ya jana nimeyafurahia kwa kuwa yana i keep league exciting, kama mngeshinda jana kungekuwa na uwezekano mkubwa ndo mngekuwa mshashinda ubingwa hivyo.
 
Exactly, matokeo ya jana nimeyafurahia kwa kuwa yana i keep league exciting, kama mngeshinda jana kungekuwa na uwezekano mkubwa ndo mngekuwa mshashinda ubingwa hivyo.

Mazee mimi niko kwa wazee wa London, SW6 Stamford bridge!! Umeona mziki wa Essien?
 
Duh, hii mechi sikuiangalia, ila text msg zilivyoanza kuingia mfululizo nilijua tayari tushachezea kichapo. Yani ni noma tupu!! Lakini we are still in control.
 
Hahahahaha..sema mhuni mwenzangu?Nilikua napitia tu barazani mwenu.
Naona mumetulia tu mnalamba vidonda!....kulikuaje jana?

..Yaani nacheka tu hapa kwenye PC yangu nikiwaza ushujaa wenu(Roya Roy,Icadon et al)....mpo?

...a dog leaves to fight another day!

Mkuu ile game ili-spoil sana weekend yangu, esp. kwa sisi tuliocheki live. Roya Roy kama Icadon mimi ndio nilimshtua kuwa Mkuu 'tumeingia choo cha kike', afadhali yake hakungalia 'coz its damn excruciating.

Gud to see tumefungwa inhali mda ukiwa badobado, we are like Mercenaries who do not die, but go to HEAVEN to Regroup....

No retreat..No Surrender..Go United Go Go Go!..
 
Last time tumefungwa na Liverpool nakumbuka ndio siku Mzee Fergie alipiga kiatu kikamtoa ngeu Beckham,Hiki kipigo cha juzi hakuna aliyepewa dozi na Mzee Fergie
 
....kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....

FC Porto shock?
View attachment 3936
"Remember me? I knocked United out in 2004"

...worry you not!

...(Arsenal) natanguliza salamu, tutakutana CL semi finals!!!!!!!!!!
 
Ukiitazama draw kwa makini Manchester united ina nafasi nzuri ya kucheza fainal.kama manchester itapita itacheza na mshindi kati ya Arsenal v Villarreal.bado sijaona timu ya kuizua Manchester mpaka hatua ya semi fainali.

Fainali itazikutanisha Manchester na Barcelona,Manchester itachukuwa tena ubingwa wa ulaya.
 
Dah Wazee kile kipigo si cha kawaida.....poleni sana
 
Aliyesema maumivu ya kichwa huanza taratiibu, kisha yanaongezeka hakukosea- huyu Scholes ninayemuamini kila siku naona leo anafanya maroroso!
Fulham 1- Man Utd 0; Mwishowe kombe litaenda Liverpool hivi hivi!
 
Fulham 1 MANU 0, goli la penalty dakika ya 18.
 
Duh! MANU wamepata kipigo cha 2-0 sidhani kama kuna wapenzi wa kandanda waliteyategemea matokeo kama haya. MANU walipwaya sana siyo kama ile timu tunayoifahamu katika mashambulizi yake ya uhakika. Inaelekea SAF aliwakoromea kupita kisai labda wachezaji wamekasirika sijui hata kama walifanya mazoezi baada ya kipigo cha L'pool maana kuna wakati walikuwa wanakimbiakimbia tu. Ni nafasi nzuri ya Chelsea na L'pool kupunguza gap, lakini ni dakika ya 65 sasa Tottenham 1 Chelsea 0
 
Tatizo wameshazoe kubebwa sasa wameshashtukiwa! Ni kipondo kwenda mbele
 
Washaniboa hawa ngoja niende park kuvizia totoz tuu sasa. Ningejua inakuwa hivi nisingejisumbua kulipia annual membership fee...!!

Liverpool hatoshinda kesho, Chelsea ndio hivyo bado dakika chache, ngoja nibinye ..........!!
 
Washaniboa hawa ngoja niende park kuvizia totoz tuu sasa. Ningejua inakuwa hivi nisingejisumbua kulipia annual membership fee...!!

Liverpool hatoshinda kesho, Chelsea ndio hivyo bado dakika chache, ngoja nibinye ..........!!

Chelsea nao wamepigwa. Sasa ni Arsenal na Newcastle. Halafu matokeo ya jumamosi hii timu vibonde ndu=io zimeshinda! Liver nao watapigwa tu kesho.
 
...(sob)

...
~Get well soon Man United!~​

...kipigo cha kwanza cha Man U msimu huu ni jumatano mtapotolewa nje ya CL na Inter Milan. Matokeo mengine ya kufadhaisha yatafuatiwa, ....you wanna bet?
ulitabiri lini ukawa sahihi? ... asiyekubali ukweli...

1. Liverpool routed Premier League leader Manchester United 4-1 on Saturday to re-ignite its faltering title chase.

2.Manchester United implode for the second time in succession, this time losing 2-0 at Fulham

3. ?


magoli siyo issue ila hizi kadi nyekundu!?... anyway, kuna siku nzuri na siku mbaya pia.

...angalau sasa umekubali kuna siku nzuri na siku mbaya. Bahati nzuri, Sir Alex Ferguson ni mzoefu, atanyanyua tena morale ya wachezaji wake waliobweteka na hype za Invincibles, unbeatable, unconceivable -blah -bla -blah...

...international break this week itawasaidia ku recover!.
 
...
Liverpool hatoshinda kesho, Chelsea ndio hivyo bado dakika chache, ngoja nibinye ..........!!

Chelsea nao wamepigwa. Sasa ni Arsenal na Newcastle. Halafu matokeo ya jumamosi hii timu vibonde ndu=io zimeshinda! Liver nao watapigwa tu kesho.

...poleni wakuu, Liverpool hatofanya makosa hayo kesho,...! presha presha, preeeeeeesha!....🙂
 
...poleni wakuu, Liverpool hatofanya makosa hayo kesho,...! presha presha, preeeeeeesha!....🙂
Wamefanya makosa Chelsea, kwa nini isiwe liverpool? Watachapwa tu na wao- ngoma iwe droooo
 
Mbu Fergie know how to handle the pressure,tatizo kubwa ni hizo red card 3 na kuruhusu magoli mengi
Kwenye hizi last 2 game tumepata goli difference ya -5
 
Back
Top Bottom