Manchester United (Red Devils) | Special Thread
...........Man Utd CAN DO IT BETTER!

Best of luck to all ma fellow funs!

JAH GUIDE!
 
Boss SAF predicts 'great night'

Sir Alex admits he can't wait for kick-off on night, despite the Reds' quarter-final tie against Porto being balanced on a knife-edge
"We know we have a big job to do but it should be a good match. I don't know how open the game will be – that's up to Porto and how they approach it. Nevertheless, we know we have to score and that's what's really important."

MAN UTD wanasonga mbele leo kama nilivyotabiri Jana...leo no draw katika games zote mbili ni mwendo wa magoli tu
 
Rio na Berba wanacheza leo, kwa hiyo tutakuwa solid kwenye defense hiyo lazima itupe attacking capabilities kubwa.

Good luck boys!!
 
Rio na Berba wanacheza leo, kwa hiyo tutakuwa solid kwenye defense hiyo lazima itupe attacking capabilities kubwa.

Good luck boys!!

...huyo Berbatov mzigo tu!
 
pressure inapandaa pressure inashuka dakika zinaclick tik tik tik.....lets go man u lets go..
 
Ngoma ndo imeanza leo Anderson anacheza na Ferdinand amerudi,so good luck mashetani wekundu.
 
Ronaldo kawasha la kwanza dakika ya sita hapa...Shuti kali si mchezo...25 yards.
 
- Noma ishaanza lakini watarudisha soon ninawaaminia jamaa wa Porto, mpira bado sana infact ndio kwanza umeanza.

FMES
 
Hawa inabidi tuwachape kingine kabla ya half time
 
Ni kweli hapa ngoma bado mbichi hii ila soon tunaweza kupata la pili hapa
 
Porto kumpoteza Lucho Gonzalez ni pengo kubwa...Kuna kama kautelezi flani uwanjani....Timu imejaa waargentina na wanaupiga kweli kweli,ila so far mashetani wekundu wanafunika mbaya.
 
ooops tunashusha pressure kidogo dah HALF TIME HAPA tumekosa kweli a chance ya kuscore thru vidic
 
Dah hii mvua nayo sijui ndo uchawi wa porto huu ...wanataka kutuharibia shughuli yetu kwa utelezi
 
Back
Top Bottom