Dah hii mvua nayo sijui ndo uchawi wa porto huu ...wanataka kutuharibia shughuli yetu kwa utelezi
kazi tunayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hii mvua nayo sijui ndo uchawi wa porto huu ...wanataka kutuharibia shughuli yetu kwa utelezi
Ronaldo kwa ku dive ni kiboko,Barbatov leo kafunikwa.
Hawa jamaa wanaofungana migoli 8 mechi moja ndio wanatuletea ukame wa magoli sasa
ana dive kivipi au ni kwa ajili ya mvua
No, alikuwa shoulder to shoulder na Cissoko lakini alivyojirusha utadhani amekumbwa na kimbunga na ukweli ukiangalia replay yeye ndo alijigonga kwa mchezaji mwenzake na kujirusha utafikiri amegongana na nini sijui...Ama hutaki Ronaldo hujiangusha hovyo sometime?
Evra leo toka awali nimeona kiwango chake hakiko mahali pake,sema kutokana na uwezo wake,bado inamuwia Fegurson kumbadili.
Na Rooney Vpi nasoma huku hata jina lake sioni
Yupo ila naona nae atafanyiwa sub soon kidogo hayupo vyema nae
Nani kamreplace Barbatov....Dakika ni ya 68...Ngoma bado wan nili.
Sasa Sub zetu c ndio hizi Foster, Neville, Evans, Nani, Scholes, Tevez, Macheda
sasa akitoka Evra ataingia
jmushi upo sawa kabisa yaani kila mpira unapokuwa upande wake mie presha juuu dah nimemwona dogo macheda anapasha nje kule