Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Jamaa naona wamepata ahueni now corner nyingi kweli kuelekea mwishoni....Lets cross our fingers for the rest ten minutes to finish ze game.
 
Lakini inaonekana Ronaldo anawasumbua kwanini kunakuwa na korner nyingi wapi tume vuja?
 
Duh I'm going out for a walk maana nishaanza kupata pressure sasa.
 
hakuvuja ila ndo kash kash zake kidogo zinaweza leta balaa so SAF kampumzisha kidogo ebwana preshaaaaaaaaaaaa juuuu hapa

hata mimi huku ni balaa sioni match lakini hatari

niambie kuna tatizo gani mbona wanapata korner nyingi
 
Dah kidogo waliongeza presha ila nasi tulipata kona mbili ila gigs anapiga kimwinyi kweli...daki inakwenda ya 89 hapa doh doh tik tik tik tak
 
Pole kwanza kwa jana umehamia sasa Emirets

...GUNNERS FOR LIFE! ...am only Liverpool sympathizer, hasa kwasababu ya kelele za Chelski!...

mna presha ya nini wakati najua tutakutana semi finali, mshaweka historia huko Porto... maneno ya Saikosisi yametimia... Breaking Record!

Hongereni sana.
 
oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
heeee,ooooh, heeee,ooooh!

Watu taratibu utasikia vikombe vinne hivyooooo
 
Refers my prediction toka jana nilisema leo hakuna draw kabisa ni mwendo wa magoli na mmeshuhudia migoli japo letu kiduchu ila ndo hivyo tena tunasonga mbele tunawasubiria Gooners
 
Yani mechi ya leo ningekuwa na afya mgogoro Kama ya mbu mngeshaita ambulance(joking)...final hiyo nishaiona.
 
Refers my prediction toka jana nilisema leo hakuna draw kabisa ni mwendo wa magoli na mmeshuhudia migoli japo letu kiduchu ila ndo hivyo tena tunasonga mbele tunawasubiria Gooners

kaka upo na mimi nilesema waliocheza J4 wiki iliyopita lazima wakuwa washindi

And waliofungwa J5 wanatoka
 
Back
Top Bottom