Manchester United (Red Devils) | Special Thread
heeee,ooooh, heeee,ooooh!

Watu taratibu utasikia vikombe vinne hivyooooo

......thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mechi ya kwanza Old Trafford, ya pili Emirates
View attachment 4291

...Ari tunayo, Nia tunayo, na Uwezo tunao....Neeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeexxxt -

target yetu ni BARCELONA kwenye final!
 
WELL, I said it kwamba tutashinda kwa mbinde na goli la mapema ndo litakalotuokoa. By the way wachezaji leo wamecheza vizuri, wamekaba (man to man) pia beki imejitahidi sana. Bravo Man U.
Congrats my comrades Ikadoni, Manda, Bello ... and others.
 
_45668744_ronaldo_getty220.jpg
 
Last edited:
Senetor Tujipongeze kwanza Tulikuwa poamoja mpaka mpira unakwisha

BRAVOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO ReD DeV!L$
 
Gud game na mnakutana na Arsenal sasa hiyo ni shughuli nyingine..Man Utd fans mtakuwa happy leo kina Idimi,Icadon,Nziku,Belo,Manda,Bontowar,snt na wengineo........Congrats!
 
Dah mwana ila haka kagoli leo kameniweka kwenye presha kweli ..tumevunja mwiko wako natumai timu nyingi za England zitafwata mwendo wa Mashetani..there is nothing impossible in the futboli
 
Yani mechi ya leo ningekuwa na afya mgogoro Kama ya mbu mngeshaita ambulance(joking)...final hiyo nishaiona.

...ha ha haaaa 😀

View attachment 4292

...afya iweje mgogoro wakati 'fresh' zipo? tumeshtuka 'wana-wa-adamu' ni incubator ya 'miwaya'​

Poleni na presha, hongereni kwa kuuvuka huo mtihani ambao hata mie ulikuwa unanipa presha kama tungekutana nao!
 
Sasa my defense is back and we are going to skin arsenal! Mbu get used to it maana that's how it's gonna be .
Hongera my fellow Red Devilians
 
Gud game na mnakutana na Arsenal sasa hiyo ni shughuli nyingine..Man Utd fans mtakuwa happy leo kina Idimi,Icadon,Nziku,Belo,Manda,Bontowar,snt na wengineo........Congrats!

...Belo unampa hongera bure tu mapema hii, huwa haji humu wakati game ipo Live, sijui ndio mganga wake alivyomwambia?
 
...Belo unampa hongera bure tu mapema hii, huwa haji humu wakati game ipo Live, sijui ndio mganga wake alivyomwambia?

Ha ha huwezi jua🙂 Tusubiri utabiri wake MPYA hiyo kesho akiingia jamvini!
 
Sasa my defense is back and we are to skin arsenal! Mbu get used to it maana that's how it's gonna be .
Hongera my fellow Red Devilians

April 29th, 2009, siku ya Jumatano!
...iweke kwenye Diary yako hii!
 
April 29th, 2009, siku ya Jumatano!
...iweke kwenye Diary yako hii!

Thanks for reminding,nimeshanote muda huu!..Kila kitu kipo kwenye Diary..

Ila lile goli la C.Ronaldo zuri sana, kudoz!
 
Man U fans, congratulations for the earned victory.
Icadon,Idimi,Manda, Roya Roy et al... de ja vu ya mwaka jana
inanukia!
 
Man U fans, congratulations for the earned victory.
Icadon,Idimi,Manda, Roya Roy et al... de ja vu ya mwaka jana
inanukia!

Thanx Ab..
Hopefully Moscow itahamia Rome.
Nyie komaeni na Barca na si tutawasqueez ganaz
 
Thanx Ab..
Hopefully Moscow itahamia Rome.
Nyie komaeni na Barca na si tutawasqueez ganaz

Roya Roy,

Hawa Barca inabidi niwaendee Simbawanga jamani.

Best of luck against the Gunners maana naona kama
mumevuka jana basi sijui kama fainali mtaikosa.

Regards.
 
Devilish Man Utd, mi sina la zaidi. Gunners walie tu.

Kabisa. Waende wakale kwanza

Man U fans, congratulations for the earned victory.
Icadon,Idimi,Manda, Roya Roy et al... de ja vu ya mwaka jana
inanukia!

Asante sana mtu wetu ABT, tuwe pamoja. Sijajua mtu wangu Issa Michuzi anauguzaje maumivu ya juzi, nipeni taarifa.

Gud game na mnakutana na Arsenal sasa hiyo ni shughuli nyingine..Man Utd fans mtakuwa happy leo kina Idimi,Icadon,Nziku,Belo,Manda,Bontowar,snt na wengineo........Congrats!

Haswaaaaa, BJ!
Tuna furaha tele.
Nahisi kunaweza kuwa km fainali za 2006 na 2008 (Arsenal Vs Barca) na (Man U Vs Chelsea). Let's wait and see!
 
Back
Top Bottom