...Belo unampa hongera bure tu mapema hii, huwa haji humu wakati game ipo Live, sijui ndio mganga wake alivyomwambia?
Utasema sana mwaka huu ,mmekuja wakati muafaka
Ulianza kushabikia Inter,ukaja Liverpol,jana ulikuwa Porto sasa ushangile timu yako ARSENAL
 
First and foremost hongereni Mashetani wenzangu 'wa ukweli'...!, it is all about winning UGLY..

Then, 'naumia' sana kuona kwamba Ze Gonnaz wanakuja wakati mbaya na hakika CHA MOTO watakiona, just imagine watakuwa kama DARAJA vile..i mean kuelekea Rome then mechi yetu na wao ya pili toka mwisho ya EPL ndiyo itakayo tutawaza sie kuwa Mabingwa wa Barclays. Just wait and see...',

Go united...!One Love...One Unite..!
 
Pamoja bwana Manda uliyosema ni sahihi...Habari ndivyo itakavyokuwa..Tumgoje J2 Everton kwa kuweka uhakika wa Quadruple zetu!!
 
Fergie alijua kuwa Anderson atawafunika ,naona defence imeanza kurudi kwenye mstari
Ronaldo anadhidi kudhihirisha kwa nini last season alibeba karibu tuzo zote
Haya waje hao Everton watupishe tubebe kombe letu
 
Na tutakuwa timu ya kwanza ya England......................
Nafikiri jibu mnalo
 
Na tutakuwa timu ya kwanza ya England......................
Nafikiri jibu mnalo

.........kuchukua kombe la klabu bingwa mara 2 mfululizo.
Teh teh teh!
Just kidding!
 
Five at Five: PFA contenders

Edwin van der Sar
No goalkeeper has won the award since Peter Shilton inspired Nottingham Forest to the league title in 1978, but with United's Dutch stopper having seemingly broken every record going this season, it would be a fitting end to a superb season for the 38-year-old if he could carry off the prestigious award and make a little bit more history in doing so.

Rio Ferdinand
United's reliable centre-back and stand-in captain has enjoyed another season to remember after raising the Champions League trophy last term. A huge part of United's remarkable run of clean sheets, Ferdinand's influence was underlined by his return to the fold on Wednesday night, looking calm

Nemanja Vidic
The other half of United's superb centre-back pairing, Vidic has combined sterling defensive work with a career best six goals so far this term, including crucial openers against Chelsea and Inter Milan and a last-minute winner at home to Sunderland. If Vidic was to claim the award, he would be only the third defender to win the trophy since the birth of the Premier League in 1992.

Ryan Giggs
The United stalwart won back-to-back Young Player awards in 1992 and 1993 but has never claimed the senior honour. But after a stand-out season, capped by his wonderful goal against West Ham, the Welsh wizard fully deserves his place on the shortlist and if he can inspire the Reds to league title number 18, he would be difficult to overlook.

Cristiano Ronaldo
No player has ever won the award three years on the bounce, but few players, if any, have displayed such talent with such consistency as United's Portuguese star. He has 15 Premier League goals to his name already this term, a brilliant return from a winger, especially given that he missed the opening weeks of the season.

Mnasemaje
 
Fergie alijua kuwa Anderson atawafunika ,naona defence imeanza kurudi kwenye mstari
Ronaldo anadhidi kudhihirisha kwa nini last season alibeba karibu tuzo zote
Haya waje hao Everton watupishe tubebe kombe letu

Pole mkuu kwa maumivu ya jana. Naona NDOTO zenu za kubeba makombe ma3 zimezimika rasmi jana. Mkae mkao wa TAHADHARI msije KUKOSA YOTE.
 
Pole mkuu kwa maumivu ya jana. Naona NDOTO zenu za kubeba makombe ma3 zimezimika rasmi jana. Mkae mkao wa TAHADHARI msije KUKOSA YOTE.

Asante kijana,
Kujaribu si kushindwa na kwa kawaida mashetani huwa hatukati tamaa kirahisi! Aluta kontinua.
 
Pole mkuu kwa maumivu ya jana. Naona NDOTO zenu za kubeba makombe ma3 zimezimika rasmi jana. Mkae mkao wa TAHADHARI msije KUKOSA YOTE.
Mkubwa tayari tuna vikombe 2 na kuna cha tatu tunasubiri muda tu
 
Pole mkuu kwa maumivu ya jana. Naona NDOTO zenu za kubeba makombe ma3 zimezimika rasmi jana. Mkae mkao wa TAHADHARI msije KUKOSA YOTE.

Hakuna yeyote mwenye uwezo wa kushangilia kwamba Man U kakosa nafasi ya kubeba makombe matano (ma3 bado inawezekana, tena kwa 95%).....ikumbukwe ni Man pekee yenye makombe mawili kwenye shelfu zake hadi sasa!
and yes the eviction pains....but Mike Riley😑.
 
Mkubwa tayari tuna vikombe 2 na kuna cha tatu tunasubiri muda tu

Hongereni kwa kujifariji; ninachowapendea Man U huwa hamshindwi kwa hoja.πŸ˜•
 
Hongereni kwa kujifariji; ninachowapendea Man U huwa hamshindwi kwa hoja.πŸ˜•

......Kama vile ambavyo hatukati tamaa uwanjani hadi dakika ya mwisho! (tone la mwisho la damu).
 
Wakuu timu yetu itachukua ubingwa EPL bila shaka, hata hivyo forwards wetu hawapo makini kabisa. Wakipata goli moja basi wanaridhika na kuanza kuonyesha show game. Hii ni hatari kwa vijamaa vinaweza kusawazisha dk za mwishi pia kuna mabahati mbaya ya penalti etc.

Hiki kipindi cha karibuni nimekuwa disappointed zaidi kuliko kuifurahia timu yangu. They should change, kwanini kutuweka roho juu kila mechi?
 
SAF anatakiwa kutueleza kwanini timu inacheza chini ya kiwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…