Kuntakinte
JF-Expert Member
- May 26, 2007
- 701
- 34
bwawa la maini chaliiii
Hehehe, kawaida ya Man U kuanza ligi slow au mmesahau misimu mitatu iliyopita? Haya Kazi kwenu mapundits wa JF maana najua mtaanza kutuwrite off muda si mrefu.
Mojamoja ndio mpango...
Suala sio kushinda 6 halafu unakuwa sio consinstence kama akina nanihiii.
Gud to see Bwawa la maini wameanza kuangukia pua mapemaaa!..
You wish!!!!
Naendeleza ushabiki tu hapa. Lakini mambo ya last season ni ya last
Mkuu sio wishes...ndivyo mambo yalivyo au umesahau msimu uliopita?
Naendeleza ushabiki tu hapa. Lakini mambo ya last season ni ya last season.Awamu hii itakua tofauti.
...Nguvu za soda sio?....🙂Sina maneno mengi Ab-Titchaz nasema COCA COLA
...Nguvu za soda sio?....🙂
Lazima tukubali ukweli, kikosi chetu mwaka huu, hasa viungo na strikers ni mbovu sana.
Kuhusu Penati, wala simlaumu Carrick. kapiga vizuri tu ila kipa kaifuata vizuri.
Lazima tukubali ukweli, kikosi chetu mwaka huu, hasa viungo na strikers ni mbovu sana.
Kuhusu Penati, wala simlaumu Carrick. kapiga vizuri tu ila kipa kaifuata vizuri.
haha...Nemesis inabidi uangalie movie ya World Greatest Dad...usiwepe ya kusema kikosi kipo poa kabisaaa
haa ha ha mkuu maybe Valencia anaweza kuleta mabadiliko kipindi hiki cha pili. Pia ninaona tuna tatizo la penalt kicker, ningemshauri SAF amfundishe Anderson.