Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Hehehe, kawaida ya Man U kuanza ligi slow au mmesahau misimu mitatu iliyopita? Haya Kazi kwenu mapundits wa JF maana najua mtaanza kutuwrite off muda si mrefu.

Mojamoja ndio mpango...

Suala sio kushinda 6 halafu unakuwa sio consinstence kama akina nanihiii.

Gud to see Bwawa la maini wameanza kuangukia pua mapemaaa!..
 
Duh, Burnley wanadeserve hilo goli.
Huu uchezaji wetu wa leo michosho sana.
 
Lazima tukubali ukweli, kikosi chetu mwaka huu, hasa viungo na strikers ni mbovu sana.
Kuhusu Penati, wala simlaumu Carrick. kapiga vizuri tu ila kipa kaifuata vizuri.
 
Timu yote mbovu ngoja mkutane na vijana wa Carlo!
 
Lazima tukubali ukweli, kikosi chetu mwaka huu, hasa viungo na strikers ni mbovu sana.
Kuhusu Penati, wala simlaumu Carrick. kapiga vizuri tu ila kipa kaifuata vizuri.

haha...Nemesis inabidi uangalie movie ya World Greatest Dad...usiwepe ya kusema kikosi kipo poa kabisaaa
 
Leo tuko sloppy sana kwenye passing. Mara ya mwisho Burnley wameifunga Man U ilikuwa 1968.
 
haha...Nemesis inabidi uangalie movie ya World Greatest Dad...usiwepe ya kusema kikosi kipo poa kabisaaa

haa ha ha mkuu maybe Valencia anaweza kuleta mabadiliko kipindi hiki cha pili. Pia ninaona tuna tatizo la penalt kicker, ningemshauri SAF amfundishe Anderson.
 
Nilikuwa nimemsahau Valencia, penalti nimeshangaa kwa nini hawakumpa Owen au Rooney. Ila leo pasi ziko sloppy sana.
 
Back
Top Bottom