hawa mashetani hata hawachezi vizuri....lakini wanashinda....inaudhi sana kwa kweli

Lol...uzuri ni kwamba umejiuliza na ukajijibu...mwendo ni ule ule.

NB; Na marafe 'wetu' pia, ndio maana Looserpool amezidi kudidimizwa na marefa 'wa-Manutd"
 
Berbatov hataki kumfunga kocha wake wa zamani, bw. Ramos. Ni bora SAF akamtoa mara tu 2nd half itakapoanza.
 
mpira kwisha; ama kweli man united hatushikiki... tusubirie tuone the blues...
 
Hongera Man United, hii ni ishara njema kwa kipute cha weekend. Wapinzani wetu wamefungwa mechi 4 mfulululizo, ukijumlisha kipigo cha jana.

Nitafurahi endapo Fabio hajaumia sana, Evra, park na Rooney wapone haraka
 
Ahsante kwa picha mtani..hawa Ruskies na uwanja wao wa nyasi za plastic walitushika koo lakini naona waliachia.
 
Ahsante kwa picha mtani..hawa Ruskies na uwanja wao wa nyasi za plastic walitushika koo lakini naona waliachia.

Karibu sana mtani wangu...umeniacha hoi na hio kauli ya
nyasi za plastiki...😀
 
Karibu sana mtani wangu...umeniacha hoi na hio kauli ya
nyasi za plastiki...😀

Yeah jamaa wana nyasi za plastic sijui nyasi za kawaida hazikui uko Moscow au basi ndio makeke yao ya kutaka mambo ya mcheza kwao utuzwa.

Ferguson felt his team had produced a professional performance on the Luzhniki Stadium's artificial pitch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…