Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Macheda ni Mtaliano product ya Lazio Academy.

Yani kuna watu walikuwa wanaamini tungefungwa mechi ya tatu mfululizo, Seriously? Huwezi kuamini leo ghafla washabiki wote wa Chelsea na Liverpool wamegoma kurudisha text msgs utadhani timu zao ndio zimefungwa.
 
Leo naona mtu atakayetubeba ni World Player of the Year

Nilitabiri jana asubuhi kwamba Ronaldo ndio atatubeba na dogo hakufanya ajizi kwa wachezaji waliokuwa wamebaki nilifikiria Ronaldo atatubeba kwa deadball au mipira ya kichwa
 
Belo[/B] inawezekana alishazima Tv na redio saa nyiiiingi, wala hajui matokeo yamebadilika, yeye anajua Man U wamelala kamoja tu!!!

Mbu nilikuwa naangalia game hadi mwisho ilikuwa balaa duh kama tungepoteza ile game ubingwa tulishautema
 
Hii ndio game ambayo imetupa ubingwa, still perfomance yetu sio nzuri but angalau tumrudisha confidence
Garry Nevile kwa sasa hastahili kuchezea ManU mchango alioutoa unatosha ameshakuwa kimeo next season Fergie ampeleke Wellbeck kwa mkopo amrudishe Campbell na huyo Macheda apewe nafasi ya Wellbeck ni maliyekamilika
Tuna game 3 ngumu dhidi ya Totenham,Man City na Arsenal
 
Hii ndio game ambayo imetupa ubingwa, still perfomance yetu sio nzuri but angalau tumrudisha confidence.

Tuna game 3 ngumu dhidi ya Totenham,Man City na Arsenal

Maybe but on my view, nadhani mechi 3 ngumu ni ile ya Wigan, Man city na Arsernal. Hiyo ya spurs hainipi homa sana italingana tu na ile ya vibonde ving'ang'anizi Hull.
 
Nziku hivi umewaona Spurs wanavyocheza hivi karibuni sio vibonde wametoa droo na Arsenal na wamewafunga Chelsea
 
Nziku hivi umewaona Spurs wanavyocheza hivi karibuni sio vibonde wametoa droo na Arsenal na wamewafunga Chelsea

Wazee, mechi ya kupoteza ni moja tu hapo; na Arsenal kama watacheza game yao... Man city na wigan hakuna kitu; totenham labda drooo

In short the championship is yours unless something very tragic happen
 
Wazee, mechi ya kupoteza ni moja tu hapo; na Arsenal kama watacheza game yao... Man city na wigan hakuna kitu; totenham labda drooo

In short the championship is yours unless something very tragic happen

Maybe but on my view, nadhani mechi 3 ngumu ni ile ya Wigan, Man city na Arsernal. Hiyo ya spurs hainipi homa sana italingana tu na ile ya vibonde ving'ang'anizi Hull.

View attachment 4158

21st April Arsenal Vs Liverpool (EPL)
29th April Arsenal Vs Man UTD (CL)
05th May Arsenal Vs Man UTD (CL)
16th May Arsenal Vs Man UTD (EPL)

Mbu nilikuwa naangalia game hadi mwisho ilikuwa balaa duh kama tungepoteza ile game ubingwa tulishautema

...aaah wapi, presha ya nini ilhali mna a game in hand?!
 
Saturday, 11 April 2009: Sunderland v Man Utd
Wednesday, 22 April 2009: Man Utd v Portsmouth
Saturday, 25 April 2009: Man Utd v Tottenham
Saturday, 02 May 2009: Middlesbrough v Man Utd
Saturday, 09 May 2009: Man Utd v Man City
Wednesday, 13 May 2009: Wigan v Man Utd
Saturday, 16 May 2009: Man Utd v Arsenal
Sunday, 24 May 2009: Hull v Man Utd
 
Arsenal tumewafanyia favor kuwafunga Villa so wachague jinsi ya kurudisha favor,
i. Wamfunge Liverpool
ii. Wakubali tuwafunge
 
Arsenal tumewafanyia favor kuwafunga Villa so wachague jinsi ya kurudisha favor,
i. Wamfunge Liverpool
ii. Wakubali tuwafunge

...😀 kiukweli, yote hayo ni magumu.
 
Fans Macheda anastahili sifa katika team ya reserve na match 16 na goli 10 pia match iliyopita ya reserve kapiga hattrick

Sir kasema pia atamweka tena leo lakini atakaa bench the kakiri anamakosa kumuweka Naville

Haya sasa leo kivumbi usiku mafans wenzangu mnasemaje
 
Saturday, 11 April 2009: Sunderland v Man Utd
Wednesday, 22 April 2009: Man Utd v Portsmouth
Saturday, 25 April 2009: Man Utd v Tottenham
Saturday, 02 May 2009: Middlesbrough v Man Utd
Saturday, 09 May 2009: Man Utd v Man City
Wednesday, 13 May 2009: Wigan v Man Utd
Saturday, 16 May 2009: Man Utd v Arsenal
Sunday, 24 May 2009: Hull v Man Utd

Timu zote zinanyewa na Man hapo, including gunners. Na gunners wananyewa na Villareal pia, mwakani UCL wataisikia kwenye bomba tu! hhaaa hahaaa
 
Arsenal tumewafanyia favor kuwafunga Villa so wachague jinsi ya kurudisha favor,
i. Wamfunge Liverpool
ii. Wakubali tuwafunge
Hilo lipo ndani ya uwezo wao na natumai ndo utakuwa mgongo wetu kupandia kwenda kwenye kiti cha Ubingwa!!
 
Dogo ameridhika sanaaa tu na babu yake hapo..dah inaleta raha kweli!!

ronferg412.jpg
 
....Rooney kasawazisha dkk ya 15.
 
...dkk ya 74 ndani ya old trafford, mambo bado 1-1...
 
....Manda, Belo, Nziku mpo wapi?

Man U 2 - 2 Porto​
 
Back
Top Bottom